Hivi mkuu suala la kafara ni yeye tale na mganga wake,,,sisi wengine ushahidi wa moja kwa moja hatuna,,ila tunaweza kuunganisha dots tukapata hisia kamili za kilicho nyuma ya kugombea ubunge,,,,kwanza inasemekana kulikuwa hakuna mahusiano mazuri baina ya tale na mkewe siku kadhaa kabla ya kifo chake,,ikapelekea mkewe Ku comment post za tale ,,,na ikapekelea babu tale kufuta post hizo.,,pia kitendo cha maigizo ya kilio cha babu tale inaonyesha kwa jinsi gani tukio la kifo cha mkewe halipo moyoni mwake,,,na mwisho kabisa tukio la kutangaza nia ya kuendelea na kugombea,,, wakati hata 7 ya mkewe bado,,hapo ndy kazidi kujidhihitisha ulozi wake,,, hakupaswa hata kuzungumzia uchaguzi kwa kipindi hiki,,,hyo ni mlozi mkuu,,