Kwahio alikuwa anaumia ndan kwa ndani ryt?Aisee ogopa sana watu wenye tabasamu kama lote......kuna tabasamu flani hivi lilikuwepo kati yao halafu bidada alikuwa na kicheko flani mtu anayedeal na mambo ya councelling ni rahisi kudetect tatizo, alikuwa anacheka kama anamuendelezo wa kitu flani then anaongea anapiga stop na tabasam HATARI SANA.
Abood moro townAcha nicheke khaahaaaaaaaa haaaaaa uyo anajisumbua awezi kabisa kumtoa abood bus hapo Youngtong ndani ya nyumba labda aenda akagombanie samvura chore
Yeah .. Mimi nimewahi kuwa katika industry ya music long time kidogo .. Ukiwa unataka kutoka na u -hit lazima kuna mambo mengi ya uongo udanganye danganye ili uweze kupata kuwin mioyo ya hadhira ...moja ya mambo hayo lazima u-create story ya udanganyifu inayo husu maisha yako strory ambayo itakuwa inasikitisha sikitisha ili upate sympathy toka katika society kisha unampatia muandishi story hiyo ana i-edit na kuipublish katika magazeti au online .....Niliwahiona hiyo taarifa ilinishangaza, nakubaliana na wewe kwamba Nje wanatofautiana kidogo na huku sababu ya ubora wa maisha na maendeleo halisi yaliyopo kule, nchi za wenzetu watu wanajielewa hivyo kukosolewa nje nje chaap tu, huku kuna tatizo lengine la uelewa ambalo ndo linapelekea kuwepo na majanga mengine kijamii na hasa kwenye hiyo sanaa yenyewe.
Mzee Mbena kavurunda ama ?Morogoro vijijini mbunge alikuwa Mzee Mbena. Hilo jimbo ukiwa chama tawala unachukua mapema.
HaswaaaahYeah true ameshawahi kujinasibu hivyo
Kazeeka na hakuna jipya alilofanya.Mzee Mbena kavurunda ama ?
Kwani uchawi na ushirikina au majini yanaaminika kweli?Atafanya yanasemwa juu yake watu wayaamini sasa
Sioni kama sababu ya kufiwa ni sababu ya msingi ya yeye kutogombea ubunge.Wasalaam,
Meneja wa Diamond Platinumz ambaye amefiwa siku tatu zilizopita ,kuanzia leo ameanza mchakato na kuendelea na mchakato wa kugombea ubunge wa Morogoro vijijini tiketi ya CCM.
Pamoja na mpango huo ndugu zake wa karibu wamekuwa wakiweka shinikizo la kupinga ndugu yao kugombea ubunge hasa kipindi hiki ambacho amefiwa na mke wake na uchaguzi umekaribia, na bahati mbaya ni juzi ametoka kufiwa na mke wake hivyo haitaleta picha nzuri kwenye jamii kwani ubunge usimfanye akasahau utu na yeye ni mfiwa hata msiba hajapoa na hata udongo kwenye kaburi la mkewe haujashikana.
Lakini ushauri wa ndugu na watu wa karibu wa Tale umegonga mwamba kwani waki ijayo Babu Tale anatarajia kwenda kuweka kambi Morogoro kwaajili ya maandalizi ya kugombea ubunge wa Morogoro Mjini.
Kwa prof jay kaa kimya, tuna files zake. Na ushahidi toshaaahWanaohusisha Ubunge na kutoa kafara akili hawana. Hivi professor J na sugu waliupata ubunge kwa kutoa kafara? Muacheni babu take akatafute kazi mpya wanae waishi maisha mazuri.
Kwa prof jay kaa kimya, tuna files zake. Na ushahidi toshaaah
Huyo prof anatokea kijijini kwetu Songea, siwezi kueleza maana hausiki hapa yeye.Weka ushahidi hadharani, kinyume na hapo ni blah blah tu za kumchafua Jose.
Kazi ipo.Kazeeka na hakuna jipya alilofanya.
Mzee Mbena kaitumikia sana nchi atapumzika.