Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Mkuu
Be honest.
Tukiachana na hicho unakiita kusadikika lakini michango yako kwenye suala hilo inajieleza wazi kwamba unaamini yaliyomo yamo
Yeye mwenyewe mbona ameshawahi kukiri mkuu ..kuwa huwa anatumia invisible power ili aweze kufanikisha malengo yake ..so Mimi na wewe nikina nani haswaa mpaka tupinge wisdom yake ... ?
 
Tumuache mtu afanye ANACHOJUA.
yeye ndo anajua ukweli wa kifo cha mke wake.
Mtu alipanga mipango yake muda mrefu kuwa atagombea ubunge.
Alafu ninyi mnataka asogeze mbele mpaka miaka 5 ijayo.muda haumsubiri mtu wakati NI HUU.
Haya basi kamsaidie kupiga kampeni

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kati ya mimi na nyinyi nani anaumia ?

Off course sihusiki kwenye ujinga wenu wa kuamini ushirikina so possibly wewe unahusika na hizo mambo.
Sasa km wee hushiriki kwenye kuamini hilo si ukae kimya, Kuamini kitu sio lazima ukione au ukifanye, sasa ndo nakuambia talle kamtoa kafara mkewe ili apate ubunge, kazi kwako kuamini au usiamini, then relaaaaaaaaaaaaax
 
Waambie nyumbani kwenu huo ujinga.
 
Ukiwataka kujua tabia halisi za watanzania walio wengi , angalia post 1 hadi 100 kama sample.
Utaona mawazo yao yamejaa kwenye
1. Uvivu wa fikra
2. Wivu
3. Kupiga majungu
4. Kupenda udaku
5. Kufuatilia maisha ya watu
6. Unafki
7. Ushirikina
8. Ignorance
9. Kutokunitambua.
Mbona na wewe umekuja kwa majungu rafiki
 
Tumuache mtu afanye ANACHOJUA.
yeye ndo anajua ukweli wa kifo cha mke wake.
Mtu alipanga mipango yake muda mrefu kuwa atagombea ubunge.
Alafu ninyi mnataka asogeze mbele mpaka miaka 5 ijayo.muda haumsubiri mtu wakati NI HUU.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Wanavyompangia maisha utafikiri akikosa hela ya mboga watamchangia.
 
Kwa hiyo anagombea ubunge kwa ajili ya watoto Wake sio?!
Ndio maana bunge limejaza vilaza kazi yao kuitikia ndioooo na kugonga meza as long as posho zinaingia na watoto wao wanaishi maisha mazuri.
They don’t care about poor Tanzanias who suffer everyday under poverty, Ignorance and diseases.
Tuna safari ndefu kama taifa[emoji2954]
Ndefu Sana eti anagombea ili awe na maisha mazuri na sio uwakilishi bungeni wa wananchi wake
 
Wee unadhan kwamba naropoka? Poleeeeeh huyu prof namjua tangu babu yake hadi vitukuu vyake, kwao napafahamu kinaga ubaga, na watoto wa ndugu zake nimesoma nao. Ila siwezi kuelezea hapa couz hausiki yeye. Tunajadili kuhus talle.
Huyo. Mpenda umbeya hafu anajifanya mjanja kuharibu tu mtiririko wa ubuyu
 
Yeye mwenyewe mbona ameshawahi kukiri mkuu ..kuwa huwa anatumia invisible power ili aweze kufanikisha malengo yake ..so Mimi na wewe nikina nani haswaa mpaka tupinge wisdom yake ... ?
Nashangaa wanachotetea Nini hapo
 
Yeye mwenyewe mbona ameshawahi kukiri mkuu ..kuwa huwa anatumia invisible power ili aweze kufanikisha malengo yake ..so Mimi na wewe nikina nani haswaa mpaka tupinge wisdom yake ... ?
Mkuu
Tale kama kweli unamfutilia ni mtu wa kutengeneza kiki, kwa mfano kama hiyo kauli ya kusema anatumia black magic aliisema makusudi ili timamu pinzani wapate cha kumzungumzia. Na kweli kama alivyokusudia wapuuzi wameingia king wazima wazima kias kwamba hata kujinasua hawawezi.

Na wewe ni shahidi , hiyo kauli imepelekea watu waongee hata wasiyoyajua kumhusu Tale.
 
Ukiwataka kujua tabia halisi za watanzania walio wengi , angalia post 1 hadi 100 kama sample.
Utaona mawazo yao yamejaa kwenye
1. Uvivu wa fikra
2. Wivu
3. Kupiga majungu
4. Kupenda udaku
5. Kufuatilia maisha ya watu
6. Unafki
7. Ushirikina
8. Ignorance
9. Kutokunitambua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawee umekuja kuunga trailer haya uliyoandika [emoji115][emoji115]
 
Back
Top Bottom