hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Yeye mwenyewe mbona ameshawahi kukiri mkuu ..kuwa huwa anatumia invisible power ili aweze kufanikisha malengo yake ..so Mimi na wewe nikina nani haswaa mpaka tupinge wisdom yake ... ?Mkuu
Be honest.
Tukiachana na hicho unakiita kusadikika lakini michango yako kwenye suala hilo inajieleza wazi kwamba unaamini yaliyomo yamo