Babu Tale: Leo naondoka na mshahara wa Makonda na Mwana FA sijaona bajeti ya Arena ikizungumziwa

Babu Tale: Leo naondoka na mshahara wa Makonda na Mwana FA sijaona bajeti ya Arena ikizungumziwa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966

"Waziri amezungumza hapa sijaona amezungumza bajeti ya Arena...ndugu yangu Makonda leo, kama mama anakuombea Dua nyumbani, mshahara wako naondoka nao...Mwana FA mshahara wako naondoka nao...ndugu zangu mtanisamehe Taifa kwanza udugu baadae..."- Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale maarufu Babu Tale.

Soma Pia: Mwana FA: Serikali imetenga Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kwa ajili ya Ujezi wa Arena na Studio
 
Huyo Babu tale hata ukimuliza roughly estimate ya Arena ni kiasi hajui, Hawa wabunge ni mizigo haswa Kwa tax payers wajukuu wetu watatuonaje aisee
 
Kipaumbele cha watz ni arena siyo

Ova
 
Back
Top Bottom