King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Zero Brain sana huyo MBWEHA ,hajui vitu gani vya kuzungumza hewani? Sasa ana tofauti gani na GIGI MANE?Mbunge CCM Babu Tale amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear japo hawez kufua. Hii ndio dizaini ya wabunge wa CCM tulionao huku tukitegemea ndio watutungie sheria kwa uzwazwa huu
View attachment 1641576
Kumbe huyu jamaa ndio anaongea vibaya hivi
Hata muonekano wake wa kijinga kinyama na anachokiongea ni bure kabisa
Wa kufua chupi?Waziri uyo [emoji16]
Ni mwana ccm mwenzio, tena mbunge anawakilisha wananchiKha! Huyu mwanaume ni kabila gani????
Naona aibu mimi😐😳🙈🙈🙈🙈
Penye wengi pana mengi, watu wa hivyo wako kila mahali.... hata upinzani wapoNi mwana ccm mwenzio, tena mbunge anawakilisha wananchi
Nadhani morogoro mkuuJumbo gani huyo?
Kiongozi anapaswa kutoa kauli zenye staha na kuchagua maneno ya kuongea mbele za watu, hapa namaanisha ccm haikufanya umakini katika kuteua wagombea wake, leadership haipo ndani ya huyu boya, anapayuka tu, hata mlevi hawezi payuka mbele za watu eti hajui kufua chupiPenye wengi pana mengi, watu wa hivyo wako kila mahali.... hata upinzani wapo
Mjinga sikuwahi mdhaniaKiongozi anapaswa kutoa kauli zenye staha na kuchagua maneno ya kuongea mbele za watu, hapa namaanisha ccm haikufanya umakini katika kuteua wagombea wake, leadership haipo ndani ya huyu boya, anapayuka tu, hata mlevi hawezi payuka mbele za watu eti hajui kufua chupi
[emoji23][emoji23][emoji23]Waziri wako huyo..
Alipita bila kupingwa sababu ya kukosa sifa na uzembe wa wapinziniHuyu ubunge aliupata vipi kama hata kuongea tu hajui?
Na huko ccm kwenye kura zenu za maoni mkaona huyu ndiye mwenye afadhali?Alipita bila kupingwa sababu ya kukosa sifa na uzembe wa wapinzini
Ndio hivyo. Na hakuwahi kuongelea mambo ya pichu hadharani, sijui ni stress za kubwa na mke?Na huko ccm kwenye kura zenu za maoni mkaona huyu ndiye mwenye afadhali?
Halafu ajabu jamaa ana majivuno sana...Kondaboy haingii ndaniKumbe huyu jamaa ndio anaongea vibaya hivi
Hata muonekano wake wa kijinga kinyama na anachokiongea ni bure kabisa