Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Mbunge CCM Babu Tale amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear japo hawez kufua. Hii ndio dizaini ya wabunge wa CCM tulionao huku tukitegemea ndio watutungie sheria kwa uzwazwa huu

View attachment 1641576
Zero Brain sana huyo MBWEHA ,hajui vitu gani vya kuzungumza hewani? Sasa ana tofauti gani na GIGI MANE?
 
Penye wengi pana mengi, watu wa hivyo wako kila mahali.... hata upinzani wapo
Kiongozi anapaswa kutoa kauli zenye staha na kuchagua maneno ya kuongea mbele za watu, hapa namaanisha ccm haikufanya umakini katika kuteua wagombea wake, leadership haipo ndani ya huyu boya, anapayuka tu, hata mlevi hawezi payuka mbele za watu eti hajui kufua chupi
 
Mjinga sikuwahi mdhania
Watoto wake na wajukuu watakuja sikiliza vile babu yao alikua hafui pichu
 
Back
Top Bottom