Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Unasema Hata chupi hufui dah Mwaka huu aibu sana
Sasa kama hawezi kufua vyupi vyake huyu....
ataweza kuhudumia wananchi waliomchagua kweli???
The world is full of dumb mothef.uckers..
 
Inawezekana alitoka katika familia bora chupi asubuhi unatupa chupi kwenye tenga LA nguo chafu HG apambane nazo.
Hiyo haitakua familia bora ila ni bora familia 😅😅😅
Hivi mama D Kijana anaanza kujinunulia chupi akiwa amefika umri gani?Mimi Huyo mama wakati huo nilikuwa teenager alikuwa kwenye manunuzi yake budget ya chupi alikuwa ananunua yeye.
Ni sawa kabisa, teenagers wangu pia bado wapo kwenye hii budget na malezi ya karibu sana kwenye usafi wa mwili na tabia

Malezi
 
Back
Top Bottom