[emoji23][emoji23] ni kweli ila nimecheka, kwamba tumezoea vitu vya kawaida kawaida tu.Tatizo naloliona humu,ni Tanzania is and was not prepared for a superstar-tumezoea hawa run of the mill type stars-leo kaibuka star ambaye angalau anapeperusha bendera yetu beyond- unfortunately we cannot handle the situation kutwa praying for his downfall. Tunaitaji fundisho toka Kenya na Uganda
Wewe tazama haya matatizo ukiwa nje ya box-utaona niyasemayo ni ukweli mtupu[emoji23][emoji23] ni kweli ila nimecheka, kwamba tumezoea vitu vya kawaida kawaida tu.
Pamoja na hayo huwa hatulilizi akili hata kidogo...Nafikiri sallam ajtahidi kufanya kazi kuendana na mazingira kwa ufanyaji wake kazi anafaa sana kufanya kazi kimataifa sabab kule vitu vimenyooka hpa kwetu uswahili upo mpk kwenye biashara mwanangu mwanangu nyingi kwenye bizness
Nadhani tumejengwa tabia ya kutozungumza tangu utotoni pindi mambo flani yasiyoeleweka yakitokea, otherwise ni heri anaeropoka kuliko anaekaa kimya huku anaumia na akiamini kwamba anachofanya ni kitendo cha busaraHalafu Salam ni mropokaji sana wala hatulii hata akisikia jambo uchochoroni analibeba na analipeleka instagram....kwakweli huyu jamaa na Tale wana shida ya kibri na ujuaji mwingi sana kwakweli wanapenda migogoro sana tena sana
Mkuu, Mtu kama Babu Tale, amekuwepo kwny game kwa mda mrefu sana, naamini anajua fitna zote na sheria zote za mchezo, habahatishi. Kama wameweza kumpandisha Diamond mpaka hapo alipo, sidhani kama hao Clouds wanaweza kumshusha, na ukiona imefika mpaka wameongea basi ujue hali haivumiliki....Hao Clouds sio Miungu, na sasa hivi watu hawategemei hizo media kutangaza mziki wao, labda wafunge na social platforms zote ndo wataweza kumwangusha, otherwise....seat back n relaxWasalaam wana JF...
Ni ukweli ulio wazi vyombo vyetu vyote vya habari vinatabia zinazo fanana na vinatofautiana sana kwa kiasi kidogo sana vyombo vyote vinapenda kubembelezwa ,kuabudiwa,kusifiwa na kupewa kipaumbele...lakini pamoja na haya yote wasanii wetu walio wengi wameweza kutoboa akiweno Diamond Platinumz...
Tutakuwa waongo na wanafiki tukihindwa kujua kuwa ukubwa na alipofikia Diamond kwa sasa kumechangiwa sana tena sana na vyombo vya habari hivi ambazo muda mwingine tunaviona vya wanyonyaji au havitoi haki au vina watangazaji wenye chuki na Roho mbaya kwa wasanii wetu tuwapendao.
Lakini pamoja na mabaya mengi ya media hizi Diamond ameweza kufikia hapa na nina fikiri kabisa alikuwa na watu wanao jua zaidi kutatua migogoro na kuimaliza inapotokea na kizuri zaidi hawa Mameja wake wamekuwa nae siku nyingi japo si sana lakini hivi karibuni Diamond na WCB wamekuwa wakiandamwa na migogoro na media tena migogoro isiyopatiwa ufumbuzi kwa makusudi na wachochea migogoro wakuu wamekuwa ni Mameneja wake wakina Babu Tale na Salam Sk...
Diamond si mkorofi ni mmoja wa watu hummble sana,pamoja na matatizo yake yote lakini si mtu anayependa migogoro na watu bali ni maneneja wake ndio si watatuzi wa migogoro bali ni wachochezi wa migogoro na media.....
Diamond alikuwa na mgogoro na EATV/EARADIO jitihada zilifanywa hasa Fella kutatua huu mgogoro japo mgogoro huu ulikuwa ni wa watangazaji wa Planet bongo na Diamond kwa kuokoteza maneno ya vichochoroni....lakini pamoja na jitihada za Fella kutatua mgogoro huu Babu Tale na Salam hawakuwa tayari na wakaenda mbali zaidi kutopeleka nyimbo pale hata za wasanii wote wa WCB sasa mgogoro huu umegeuzwa wa WCB na EATV/EARADIO.
Sasa wameingia kwenye mgogoro na Clouds baada ya Mose iyobo kuwapiga wambea lakini hili limegeuzwa kama ugomvi wa Clouds na WCB na hii imechangiwa sana na Mameneja hawa wawili Salam na Tale maana kwakweli wana midomo mirefu sana na kibri kilichopitiliza na wameligeuza jambo lile kuwa anayetafutwa ni Diamond kushushwa baada ya Clouds fm kusema wamesikitishwa na wambea wao kutandikwa na Iyobo,najua Clouds wanacho hitaji ni kuombwa radhi na walitegemea ni Diamond,Tale au Salam ndio wajitokeze kuomba msamaha kwa Clouds saa hilo jambo halijafanyika.
Lakini pamoja na hayo yote nilitegemea Mamneja wa Diamond hasa Salam Sk wakimya na si wapiga kelele au kushutumu watu ooooh wanataka kumshusha Diamond,ooh wana chuki kitu ambacho pengine si cha uhakika bali ni hisia....kwakweli Maneneja wa Diamond wamekuwa watu wa kuendekeza migogoro na kumbebesha migogoro Diamond isiyo na tija......
Sioni sababu ya Salam kuanza kutamba na kutoa povu instagram kwa jambo pengine halipo kabisa maana hata dunia inajua kuwa ni vigumu sana kumshusha Diamond kwa sasa maana walishamuacha akapanda...
Kama ni swala la Iyobo kuwapiga wambea wa Clouds hayo ni maswala yanayo muhusu Iyobo na wale wambea waliotandikwa hivyo ni vyema na ni busara kwa mameneja kujiweka pembeni na jambo hilo kwanza ni jambo la wanawake hivyo si vyema kujihusisha nalo.
Pamoja na WCB kupanga kufungua vituo vyao vya radio bado kabisa vyombo vilivyopo vinahitajika sana tena sana kwa ustawi wa wa wasanii wa WCB hivyo ni vyema sana mameneja mkafanya jitihada za kutatua migogoro kuliko kuikuza.
Wasalaam
diamond karanga zinauzika sana kuliko maji ya uhai na masafi ..??; au kuliko matikiti na pilipili hoho na carot ...muwe mnaacha masihara basiiii ktk vitu vya msingiHawa hawa clouds ambao walipanga wat wamzomeee diamond na kumshangilia kiba kwenye fiesta ndio wakuwaonea huruma pumbavu hawa chibu ana nguvu kwasasa tena naomba kama kuna mahali amekwam kuhusu kuanzisha redio yake bas aende bank akakope kabisaa yaani afungue haraka radio na TV yake halafu mkuu wa vipindi amuweke lilommy yule jamaa wa times FM MTU mmoja mwenye madini na ubunifu wa hali ya juu halaf tuone kama kuna MTU atasikiliza hiyo radio iliyojaa matangzo badala ya ubunifu.
Diamond usirud nyuma mashabiki wako tupo tutakusapot sana kama tunavyosapot diamond karanga ambayo ndio bidhaa inayouzwa sana kwasasa
jiulize tu swali dogo na kutafuta majibu... kwanini mondi ana fanya biashara na kusaga... na wakati kusaga ni mfanyabiashhara mwenza na ruge... katika clouds media nk...Lakini pamoja na hayo haindoi ukweli kuwa wanao mchango mkubwa na kuna kila sababu ya kuwa na suluhu nao....
Wait a minute? kama ni kweli Kusaga anafanya biashara na Diamond,how come,au hiyo Clouds ni ya Ruge?? something does not add up. 19.00 hours EAT leo,Sallam atashusha bombshell,labda tutaelewa whats happeningjiulize tu swali dogo na kutafuta majibu... kwanini mondi ana fanya biashara na kusaga... na wakati kusaga ni mfanyabiashhara mwenza na ruge... katika clouds media nk...
je kwanini kusaga hana sauti sana kuliko huyu ndg yako muhaya...! young killer alipata kusema kuwa "ushamba wenu wa mikoa msiulete pwani"
huku kuna wenyewe born here here... watafutaji kuanzia chini kabisa wakiwa sifuri... wasanii kwanini kila siku wana lia lia kunya nyaswa? haya maswali mbona majibu yake kama tume yasahau na maswali pia...
Kuna kipindi kinaitwa leo tena leo nimesikia wanaipromoti Diamond karanga.Wasalaam wana JF...
Ni ukweli ulio wazi vyombo vyetu vyote vya habari vinatabia zinazo fanana na vinatofautiana sana kwa kiasi kidogo sana vyombo vyote vinapenda kubembelezwa ,kuabudiwa,kusifiwa na kupewa kipaumbele...lakini pamoja na haya yote wasanii wetu walio wengi wameweza kutoboa akiweno Diamond Platinumz...
Tutakuwa waongo na wanafiki tukihindwa kujua kuwa ukubwa na alipofikia Diamond kwa sasa kumechangiwa sana tena sana na vyombo vya habari hivi ambazo muda mwingine tunaviona vya wanyonyaji au havitoi haki au vina watangazaji wenye chuki na Roho mbaya kwa wasanii wetu tuwapendao.
Lakini pamoja na mabaya mengi ya media hizi Diamond ameweza kufikia hapa na nina fikiri kabisa alikuwa na watu wanao jua zaidi kutatua migogoro na kuimaliza inapotokea na kizuri zaidi hawa Mameja wake wamekuwa nae siku nyingi japo si sana lakini hivi karibuni Diamond na WCB wamekuwa wakiandamwa na migogoro na media tena migogoro isiyopatiwa ufumbuzi kwa makusudi na wachochea migogoro wakuu wamekuwa ni Mameneja wake wakina Babu Tale na Salam Sk...
Diamond si mkorofi ni mmoja wa watu hummble sana,pamoja na matatizo yake yote lakini si mtu anayependa migogoro na watu bali ni maneneja wake ndio si watatuzi wa migogoro bali ni wachochezi wa migogoro na media.....
Diamond alikuwa na mgogoro na EATV/EARADIO jitihada zilifanywa hasa Fella kutatua huu mgogoro japo mgogoro huu ulikuwa ni wa watangazaji wa Planet bongo na Diamond kwa kuokoteza maneno ya vichochoroni....lakini pamoja na jitihada za Fella kutatua mgogoro huu Babu Tale na Salam hawakuwa tayari na wakaenda mbali zaidi kutopeleka nyimbo pale hata za wasanii wote wa WCB sasa mgogoro huu umegeuzwa wa WCB na EATV/EARADIO.
Sasa wameingia kwenye mgogoro na Clouds baada ya Mose iyobo kuwapiga wambea lakini hili limegeuzwa kama ugomvi wa Clouds na WCB na hii imechangiwa sana na Mameneja hawa wawili Salam na Tale maana kwakweli wana midomo mirefu sana na kibri kilichopitiliza na wameligeuza jambo lile kuwa anayetafutwa ni Diamond kushushwa baada ya Clouds fm kusema wamesikitishwa na wambea wao kutandikwa na Iyobo,najua Clouds wanacho hitaji ni kuombwa radhi na walitegemea ni Diamond,Tale au Salam ndio wajitokeze kuomba msamaha kwa Clouds saa hilo jambo halijafanyika.
Lakini pamoja na hayo yote nilitegemea Mamneja wa Diamond hasa Salam Sk wakimya na si wapiga kelele au kushutumu watu ooooh wanataka kumshusha Diamond,ooh wana chuki kitu ambacho pengine si cha uhakika bali ni hisia....kwakweli Maneneja wa Diamond wamekuwa watu wa kuendekeza migogoro na kumbebesha migogoro Diamond isiyo na tija......
Sioni sababu ya Salam kuanza kutamba na kutoa povu instagram kwa jambo pengine halipo kabisa maana hata dunia inajua kuwa ni vigumu sana kumshusha Diamond kwa sasa maana walishamuacha akapanda...
Kama ni swala la Iyobo kuwapiga wambea wa Clouds hayo ni maswala yanayo muhusu Iyobo na wale wambea waliotandikwa hivyo ni vyema na ni busara kwa mameneja kujiweka pembeni na jambo hilo kwanza ni jambo la wanawake hivyo si vyema kujihusisha nalo.
Pamoja na WCB kupanga kufungua vituo vyao vya radio bado kabisa vyombo vilivyopo vinahitajika sana tena sana kwa ustawi wa wa wasanii wa WCB hivyo ni vyema sana mameneja mkafanya jitihada za kutatua migogoro kuliko kuikuza.
Wasalaam
si ndio wanasema ni ya kusaga.... wana achaje kuipromote sasa... huku mondi akila kamisheni yake hapo hapo...Kuna kipindi kinaitwa leo tena leo nimesikia wanaipromoti Diamond karanga.
Au they are taking us for a ride kwa kupeana kicks???si ndio wanasema ni ya kusaga.... wana achaje kuipromote sasa... huku mondi akila kamisheni yake hapo hapo...