DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Msanii sio lazima ategemee Radio ili akiki...kuna sehemu nyingi zakufikisha wimbo kwa mashabiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu we unaamini kama jamaa wametandikwa au unaangalia yale magongo feki?wamesikitishwa na wambea wao kutandikwa na Iyobo,najua Clouds wanacho hitaji ni kuombwa radhi na walitegemea ni Diamond,Tale au Salam ndio wajitokeze kuomba msamaha kwa Clouds saa hilo jambo halijafanyika.
Aliyeleta hii post ajauelewa mziki kiundani yani introduction umeelezea fresh ila huko katikati ndo umeharibuWatakao kuwa wanaumia ni wale vijana wa WCB........
Mkuu una ushahidi kuwa Clouds walipanga unayo yasema?Hawa hawa clouds ambao walipanga wat wamzomeee diamond na kumshangilia kiba kwenye fiesta ndio wakuwaonea huruma pumbavu hawa chibu ana nguvu kwasasa tena naomba kama kuna mahali amekwam kuhusu kuanzisha redio yake bas aende bank akakope kabisaa yaani afungue haraka radio na TV yake halafu mkuu wa vipindi amuweke lilommy yule jamaa wa times FM MTU mmoja mwenye madini na ubunifu wa hali ya juu halaf tuone kama kuna MTU atasikiliza hiyo radio iliyojaa matangzo badala ya ubunifu.
Diamond usirud nyuma mashabiki wako tupo tutakusapot sana kama tunavyosapot diamond karanga ambayo ndio bidhaa inayouzwa sana kwasasa
hakuna mwenye uhakika kama Diamond na kusaga wana biashara bali ni hisia tuuWait a minute? kama ni kweli Kusaga anafanya biashara na Diamond,how come,au hiyo Clouds ni ya Ruge?? something does not add up. 19.00 hours EAT leo,Sallam atashusha bombshell,labda tutaelewa whats happening