Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
si wengi wetu tuna penda umbea... hawa wame piga waandishi hakuna wa kukemea zaidi ya mange kukemea... hata vyama vya haki za nani sijui, vya siasa, vya umoja wa waandshi sijui wahariri, wameacha mambo yaende...A
Au they are taking us for a ride kwa kupeana kicks???
sina taarifa kama wasafi pia wamekemea hili...! kama sio kiki hizi au kwa kuwa kuna bosi mwingine anae ishi dubai kuwa na sauti juu ya brand partner wake mondi kupelekea kumkingia kifua ni nini...?
hapa kuna usaniii tu na maigizo mengi yasiyo isha... ndio maana Zari ana wacheka kwa kuwa ana jua kuwa kiki ni sehemu ya kazi... na labda ana shirikishwa na meneja ana mpanga mke ili kunusuru ndoa za watu, tumeona kwa wolper, van boy na wengine... lakini wengine hawa jiulizi maswali mbona hawa wana wake zao na wengine wana watoto... je ndoa zao mbona ndio kwanza zina kuwa imara badala ya kuvunjika...?
je ungekuwa wewe unge weza kuimili maneno na umalaya wa mwenza wako...? ukiletewa magonjwa au ni njaa zako zina kufanya kung'ang'ania... mbona mwanzo ulikuwa na mtu mwenye pesa zaidi ya huyu wa sasa?