Watakao kuwa wanaumia ni wale vijana wa WCB........
Aliyeleta hii post ajauelewa mziki kiundani yani introduction umeelezea fresh ila huko katikati ndo umeharibu
Rudi nyuma kidogo enzi hzo diamond ommy dimpozi na bell 9 wakiwa wanalinganishwa
Diamond baada ya kutoa nyimbo ya MY NUMBER ONE yy mwenyewe na kuja kufanya na davido, na davido akiwa anatamba na skelewu
Diamond alilokota tuzo za kutosha kupitia hyo Nyimbo nafikiri kama kumi na mbili hv
Baada ya tukio hilo chibudi chibudenga aliutangazia umma kwamba hatabiga show yyt Tanzania chini ya million 10(wakati huo not now) channels watu NA vinginevyo vilimbenza MUNYAMA huyu ila mshikaji akawa kimya anaendelea kuanchia ngoma tuu
Diamond platinum alipouwachia wimbo wake wa Nana aliyomshirikisha mnaigeria Mr Flavour apo ndo alituaga na kuanza kufanya kazi zake international
Sasa baada ya kufanikiwa huko tunarudi kwenye vyombo vya habari vikataka kumrudisha Baba Tiffah Mbagala
Unajua akufukuzaye akwambii toka ata siku moja. Diamond aliona kabisa channels za Tanzania hazitoi support kwenye mziki wake na yy jinsi apendi unafki
Hvy akadondoka povu zito zaidi ya la OMO kwakusema HATEGEMEI CHANNELS ZA KITANZANIA kutangaA mziki wake coz anafollowers wakutosha hapo Instagram kama milioni 3 na ushee pia page yake ya Facebook INA watu zaidi ya million 2.7
Vyombo vya habari vikajiongeza (kama mm nikikuonea na uwezi nipiga utamsaka dogo langu umpige) yani ndo ikawa hvy hvy walivyowafanyia wanamziki wote wa WCB ila diamond anaonyesha support kwa vijana wake mpk rayvanny anachukua BET eatv wanabisha wana sema skendo huo NDO ukweli
HAKUNA MBAYA WCB WATU KAMA WANGEKUWA WABAYA WASINGE WAACHA WAKINA BELL 9 OMMY DIMPOZ NA MSANII WA KULAZIMISHA AFANANE NA DIAMOND ALIKIBA mtu anaimba jikune mapele kwenye wimbo wa mapenzi WCB WANATOA MSAADA KWA JAMII NA SIO KUTAFUTA KIKI KAMA KIBAKULI KWENDA KUMSALIMU MAMA YAKE TINGATINGA