njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,820 Reaction score 9,625 Aug 6, 2024 #21 Daaah mpaka aibu nimeona mimi jamaa lina akili za bata mzinga hili hata ongea yake yani duuuh
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Aug 6, 2024 #22 Ovyooo
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 891 Reaction score 1,569 Aug 6, 2024 #23 Tunadhalilisha sana BUNGE letu kwa kuwa na wabunge wa aina hii..huyu level yake ni ya Udiwani.. Turudishe hadhi ya BUNGE kwa kuchagua watu wasomi wabobezi maana ndio THINK TANKERS ya nchi..
Tunadhalilisha sana BUNGE letu kwa kuwa na wabunge wa aina hii..huyu level yake ni ya Udiwani.. Turudishe hadhi ya BUNGE kwa kuchagua watu wasomi wabobezi maana ndio THINK TANKERS ya nchi..
Fake P JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 3,952 Reaction score 11,919 Aug 6, 2024 #24 Babu take alishindaje Ubunge😂😂😂 mbona hizi dharau sana kuwakilishwa na Pendulum Bob
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 21, 2024 #25 Duc in altum said: Si nlisikia wakilalamika mshahara hautoshi Click to expand...