Pre GE2025 Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda!

Pre GE2025 Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunadhalilisha sana BUNGE letu kwa kuwa na wabunge wa aina hii..huyu level yake ni ya Udiwani..

Turudishe hadhi ya BUNGE kwa kuchagua watu wasomi wabobezi maana ndio THINK TANKERS ya nchi..
 
Babu take alishindaje Ubunge😂😂😂 mbona hizi dharau sana kuwakilishwa na Pendulum Bob
 
Back
Top Bottom