Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

Wanataka for the time being wawe wanaenda wenyewe kimyakimya kunywa kikombe cha uzima. Huu ni ulafi na ubinafsi wa hali ya juu.
 
Wengi wamepona na wake zao wanasema wanahisi kama vile wako kwenye enzi za uchumba baada kuishi kama kaka na dada kwa muda mrefu kutokana na mathara ya kisukari. Siyo maneno yangu ni ya mmoja wa mwanamke ambaye mumewe amepona sukari.

hehehehe.....dah, sio mchezo!
 
Serikali iwashughulikie mafisadi na wauza madawa ya kulevya. Ikae mbali na Loliondo kwani hiyo inaenda na imani za watu.
 
Mi najiuliza huu utafiti ukichukua muda mrefu serikali itafanya nini si wangemwacha tu aendelee wakati wnao wanatafiti?
 
Radio imani inawakataza Waislamu wasiende kutibiwa na makafir!
 
Hao waliotumwa nao walikuwa wanatumia kigezo cha kuipima ili wahudumiwe wa kwanza naibu waziri Nkya alishaenda kwa nini wasimuulize alipona au la .
Kama serikali inataka kujua hasira za watz wajaribu kuyumbisha tiba ya babu

wakitaka kumstopisha babu, patachimbika arifu.
 
Radio imani inawakataza Waislamu wasiende kutibiwa na makafir!

Ni wazima tu ndo hatutaenda. Kumshawishi mtu mwenye terminal illness, declared no cure in the hospitals, and no hope at all of existence of medications for one's illness, ni kazi kubwa kidogo. Pale anapoona/sikia uwepo wa kupona sehemu fulani at his reach, rarely one will hesitate to seek help. Tuna fears zetu bwana, wengine wanaogopa giza, wengine kuzeeka nasi wengine tunaogopa kufa.
Kama dawa ya kafir itaniponesha kwa ndo nini?
Mara ngapi tumeshuhudia watu wanasilimu au waislam kubatizwa kuwa wakristo kwa ajili ya kuoa/kuolewa?
Life kwanza.
 
mbona huduma inaendelea kama kawaida habari tbc1 saa hizi
 
Jamani huyu babu hivi bado yupo???
 
Back
Top Bottom