Babu yangu Ze King of All Network Le Mutuz...Turudishie michango ya harusi

Babu yangu Ze King of All Network Le Mutuz...Turudishie michango ya harusi

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,681
Lahaulaaaaa!!!!....Namkubali sana Babu yangu Ze King of all social network,Le Mutuz Nation,yeye hana shida na mtu...iwe mmeonana uso kwa uso au umemuona just mtandaoni tu...mtu Wa amani Sana'a.Kuna vijana wajukuu zake Mara waseme mfuko wake Wa kaptula unaingiza Tv ya chogo inchi 21,Wala yeye hata hakasarikiii..anajua huu ni mzaha Wa babu na wajukuu,Mara shati lake linafunika vitz na ist kwa ukubwa..yeye hana makuu utaona anacheka tu "ha ha ha ha ha ha ha wassap ma men,here le mutuz with appartment Kinyerezi lkn kulala kwa baba Sea view..le mbululaz"


Vijana wengine utani kwa Ze mkaliiz King le mutuz..wanasema Lazaro Nyalandu na Ngeleja wanampa shikamoo...kwamba Pinda na Lukuvi ndio umri wake waache kumtania mkaliz wetu Wa social network,Maana yeye ana kadi ya UVCCM na mjumbe. UVCCM,Na anajiandaa kugombea uenyekiti Wa Vijana...Nyie mbululaz mazafantas mumuache King of Social media in Bongo...

Sasa tena vijana wanamdai Babu yao michango ya harusi yake...Kwamba babu yetu le metuz ze king of social network in bongo alitutangazia ndoa..kamati ya harusi iliundwa na mabailionea na wakaliz Wa town..mpaka Leo kimyaa!!!Michango tuliitoa kwa wingi sana lkn babu tunaona kimyaaa....Vipi au mbebizz Wa ukweli amalize mastaz ndio mambo yaive??Maana tunajua ze king from Baba's house at sea view hutaki kuoa mabebz mambuululazzz,Asije akakufanyia kama yule Wa Capital TV


Fanya kweli..maana tunajua mtu zitajaa zaid ya kwenye Ista party na Escape one itatemaaaaa.....We salute u the King of all social network in bongo...the founder of insta party and the owner of Blog ya Wananchi!!!!Super man Babu Ze big show le Mutuz...Michango ya harusi vipi?
 
Hivi mwanamke gani atayekubali kuolewa na mwanaume anayejisifia kushika viuno vya wanawake wote bongoo?
Bora angekuwa anawakula kweli mtu unaweza sema Mume wangu kiwembe...lakini ndo kwanza akitoka hapo anenda kuwavutia hisia za kupiga puchu....khaaaa....

Bora mtu ufe mseja kuliko kuolewa na huyu...huyu saizi yake Mbuta Nanga tu basi...otherwise hakuna wa kuendana nae dunia nzimaa...

Usiseme hivyo....unawezakuta wapo watu wanamzimia vere vere... le billionea you know!!!

Hahaha le mutuz kweli kiboko hadi mwandiko wake keshatuambukiza!!
 
Back
Top Bottom