Babu yangu Ze King of All Network Le Mutuz...Turudishie michango ya harusi

Babu yangu Ze King of All Network Le Mutuz...Turudishie michango ya harusi

mwacheni rais wa mabebez wa ukweli michango hajala harusi ipo mtajulishwa le bilionea hawezi kuingia mitini na vijisent u know
 
Hahahahahaha uknw super gardem mburulaz wana tumia jina langu kukusanya michango sababu Mimi ni big celebrity u knw ...hahahaha harusi yangu ntafanyia uwanja wa taifa na kiingilio bure u knw na mabebiz wakarez watakuwepo....
 
Le mburulaz u know michango nilifanya kamtaji ka Insta Party!
 
Lembululaz le shati km pazia le fukoz...mapana ya shati yanatosha kufunika meli

Hahahahahaha uknw wabebiz wakarez wanapenda mashati yangu hahahahaha I like it
 
Attachments

  • 1415110233623.jpg
    1415110233623.jpg
    48 KB · Views: 663
Kuna picha moja iliwekwa akiwa gym anafanya mazoezi, yaani nilicheka aisee. Mwenyewe kalal chali yuko busy na chuma na kibukta chake cha blue kimefunuka baja limebaki nje....dah huyu mzee noma kweli!!

Uknw huyu Mzee ni burudani tosha!
 
Hahaha hahahaa jamani Le Mutuz ananiacha hoi anapofumba macho akipigwa kisses na wabebez wakali u know....
Nikiona picha yake hata niwe ktk hali gani lazima nicheke.....
Usitake kuichunia ile proposal yake jamani,chance ya kuwa muke ya billionea iyoooo!!shoga usinisahau kwenye ufalme wakoo
 
Usitake kuichunia ile proposal yake jamani,chance ya kuwa muke ya billionea iyoooo!!shoga usinisahau kwenye ufalme wakoo

Haha hahaaaa una hatari wewe....usijali tutaziponda wote shoga ang....Mimi na wewe tena?
Huku tunaserebuka na mwana....chezea sisi wewe?
 
Ha ha ha!nmekupenda bure hapo ulipotaja mwana Daresalama umeukuna moyooo!kuanzia leo ntakua nampa support Le shemeji yangu wa ukweliiii
 
Kuna picha moja iliwekwa akiwa gym anafanya mazoezi, yaani nilicheka aisee. Mwenyewe kalal chali yuko busy na chuma na kibukta chake cha blue kimefunuka baja limebaki nje....dah huyu mzee noma kweli!!

Hahaha ile foto ako ka Tembo ati
 
Hahaha hahahaa jamani Le Mutuz ananiacha hoi anapofumba macho akipigwa kisses na wabebez wakali u know....
Nikiona picha yake hata niwe ktk hali gani lazima nicheke.....

Hahahahahaha uknw natoa burudani super gardem mazafantaz wananichuki na wabebiz wakarez wananizimia hadi nasinzia hahahahaha !!!!!I like it
 
Attachments

  • 1415128069393.jpg
    1415128069393.jpg
    58.2 KB · Views: 441
We Ngaliba lala acha ushambenga usiku

We kende unafikiri wote wa JF wako Tz? Dunia ina time zones tofauti. Halafu ID ya kende halaula. Ziko kende ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka na usibgizi wote umetoweka. Hivi hana hata ndugu mshauri? Dr. Mwele nusuru hii lemajanga ni damu yako tu mmeshea baba. Aibu kwa familia lezekomedi.
 
Back
Top Bottom