Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzee mwisho Chalinze, we vipi... unaniabisha bhana! Mwache Le Mutuz, Masauti ya Umeme ale ujana na bebez za downtown... nyie mnaoishi pande za Msoga kwa JK kurudi nyuma bakini huko huko na mizee yenu wala ugoro... hapa town hakuna ugoro so, wote ni mabebi gals na mabebi boyz... kama ni smoker, mambo ni ambassador! Jana yenyewe nimeenda kumcheki m-sure angu nikamkuta kadondoka na tshirt chini bonge la raba... mwenyewe anaita raba mtoni...utamtakaje; manake ungezani ni finalist flan hivi kutoka mavyuo ya mabrazeni hapa mjini!
Eti eeeeh??Basi thawaaa!Avemaria acha husuda... wazee ni wale wabugia ugoro kutoka Tabora... hapa mjini hakuna ugoro kwa hiyo Le Mutuz ni mbebi boy kwahiyo msiwe na wivu kisa tu aliwatolea nje kuchukua selfie na yeye... yeye anachukua selfie na mabeibez wa ukweli!
Haiwezi kuwekwa tena ile coz' iliondolewa kwa maombi maalumu baada ya mabeibez wasio na kasoro kuanza ku-piss hovyo hovyo... in short ni kwamba, wengi wao kama sio wote, body temperature ilikuwa so high watu wakawa hawajiwezi.
Le mutuz ni hazina kwa Tanganyika!! Atunzwe
Le mutuz ni hazina kwa Tanganyika!! Atunzwe
Haha hahaaaa haya bwana....
Uje mara ngapi?ulichosahau ni kumchukua mkeo tu!
Sasa Le Mutuz naona kwa makusudi unataka kuanzisha bifu na mmoja wa ma-supporter wako humu jamvini. nifah my princess, hebu mjibu nione hilo jibu lako linakaa kaa vipi!!- Jamani my baby nifah zimefikia page 5 tayari nije U know, The King Of All Bongo Social Media Netowrk hahahaha nijeeee au bado hazijafika?
Le Big Show
Le mutuz ni hazina kwa Tanganyika!! Atunzwe
Sasa Le Mutuz naona kwa makusudi unataka kuanzisha bifu na mmoja wa ma-supporter wako humu jamvini. nifah my princess, hebu mjibu nione hilo jibu lako linakaa kaa vipi!!
Kama kunipa sononeko la moyo ndo furaha yako basi nimwagie mimaji ya ukoko kabisa ili nafsi yako ipate faraja zaidi.Mhhhhh....sitaki kusema chochote kwa kweli...🙂🙂
Kama kunipa sononeko la moyo ndo furaha yako basi nimwagie mimaji ya ukoko kabisa ili nafsi yako ipate faraja zaidi.
Hahahahahahaha- Jamani my baby nifah zimefikia page 5 tayari nije U know, The King Of All Bongo Social Media Netowrk hahahaha nijeeee au bado hazijafika?
Le Big Show
Umeona enh... kuna watu humu wanajifanya mabebi boyz kumbe ni ma-class mate wa braza Kingunge... akina miss neddy mnaturusha roho wapenda vitu vizuri kumbe si ajabu mlikuwa miongoni mwa wale mashosti tunaowaonaga kwenye tv na picha za black nd white wakishangilia kushushwa bendera ya mkolono pale taifa!wanamuonea le mutuz tu wamuache ale bata hata humu wapo umri umewatupa mkono wanafanya vitu vya early twentiens NasDaz meseji ilijifuta lols hii tachi ni shiiiiider
Umeona enh... kuna watu humu wanajifanya mabebi boyz kumbe ni ma-class mate wa braza Kingunge... akina miss neddy mnaturusha roho wapenda vitu vizuri kumbe si ajabu mlikuwa miongoni mwa wale mashosti tunaowaonaga kwenye tv na picha za black nd white wakishangilia kushushwa bendera ya mkolono pale taifa!
hahahahaaa... reference ya Kingunge sijaenda mbali wala nini... kuna watu humu washakata debe mbili unusu za chumvi peke yao... fuatilia tu post zao, yaani full unoko utafikiri mwalimu mkuu wa enzi za Hayati Baba wa Taifa!! By the way, huangaliagi tv tunapoadhimisha sherehe za uhuru nini... mambo ni back 1961 hiyo... huwa najisikiaga raha sana ninapowaangalia mashost wa enzi hizo... inaelekea walikuwa warembo ile mbaya sema walikuwa hawajui kutembea kwa mapozi... c kuchanganya miguu huko!!!hahahah umeona eeeh hii sio kwa bebi boys tu hata bebi girls wa hivyo wapo humu haha ila kwa kingunge umeenda mbali bestito
hivi picha za black and white ilikuwaga mwaka gani nahisi nilikuwa sijazaliwa u know wanawarusha roho walivikosa ujanani uzeeni lazima uwe limbukeni lols