Babu yangu Ze King of All Network Le Mutuz...Turudishie michango ya harusi

We kende unafikiri wote wa JF wako Tz? Dunia ina time zones tofauti. Halafu ID ya kende halaula. Ziko kende ngapi?

Ha ha haaa hizi ID nyingine hzi ni majanga lol eti kende mhh
 
Last edited by a moderator:
Character assasination mbona nchi yetu ni ya amani...why is this soo much hate?Mnh mna kazi😈😈😈😈😈😬😬
 
hahaha nimekuelewa lol huo ufafanuzi balaaa aiseeee salute kwako le mkareziiiii huko kwenu aiseee roho mkononi NasDaz nakutaka radhi sikujua aaieeee
Ofcoz, mie ni mkareezyyy wa pande hizi sema tu si-mind ma-selfie kama ze mkareezi wa pande za mitaaa ya kati... sema nini, usigope miss neddy, sema tu cku ukitaka kuja ucje na hiyo miviatu yenu cjui wenyewe mnaitakaga high heels cjui madudu gani cjui manake tutakuona unatulutea mashauzi... piga simple kisha dondoka mtaani kwetu, lazima utakupenda tu!
 
Last edited by a moderator:
Character assasination mbona nchi yetu ni ya amani...why is this soo much hate?Mnh mna kazi
Wasikuumize kichwa hao Jestina... hata Le Mutuz mwenyewe keshawapuuza! Akiwaambia yeye ni celeb wanamkatalia wakati haipiti wiki bila watu ku-post kuhusu Le Baharia!
 
Last edited by a moderator:
Character assasination mbona nchi yetu ni ya amani...why is this soo much hate?Mnh mna kazi😈😈😈😈😈😬😬

Kwani na wewe ni celeb tuanze kukuandikia thread lol
 
Ofcoz, mie ni mkareezyyy wa pande hizi sema tu si-mind ma-selfie kama ze mkareezi wa pande za mitaaa ya kati... sema nini, usigope miss neddy, sema tu cku ukitaka kuja ucje na hiyo miviatu yenu cjui wenyewe mnaitakaga high heels cjui madudu gani cjui manake tutakuona unatulutea mashauzi... piga simple kisha dondoka mtaani kwetu, lazima utakupenda tu!

hahaha nikipiga heels watanishangaa na hivi mwendo shurti ubadilike haha nitapiga dera matata basi na visimple ila vigold vyangu nitaviacha home wasije wakanitoa sikio hhahaa hiyo mitaa hatari sana
 
Last edited by a moderator:
hahaha nikipiga heels watanishangaa na hivi mwendo shurti ubadilike haha nitapiga dera matata basi na visimple ila vigold vyangu nitaviacha home wasije wakanitoa sikio hhahaa hiyo mitaa hatari sana
Hahahahaaa... nilipoona neno "vigold vyangu...!" nikadhani umesema lakini vigold vyako hutaviacha, lazima uvitinge... nilitaka nikujibu hewallah mama lakini mi simo... njoo uwawezeshe vijana kwa mtaji usio na riba, siku hizi hawana tena mpango wa kwenda South Africa; wanapenda biashara tatizo mtaji... ukisikia gombe hilo, hesabu umekwisha... watu wanataka vitu vyao!
 
hahahah hatari sana tatizo sio mtaji mbona wakiiba mara moja hawaachi kama ni mtaji wanaiba mara nyingi nyingi
 
Kwani wewe unapolipwa bonus kazini kwenu say ya mwaka huu ina maana bonus ikija mwaka ujao hutachukua? Mtu anachukua gold zake mnazomlingishia anaanzisha biashara ya ganja... ukimlingishia nyingine anabeba, anaongezea mtaji... baada ya mwaka, anaanza kuwa supplier na yeye!!
 
Hahahahahaha uknw wabebiz wakarez wanapenda mashati yangu hahahahaha I like it
Dah! Huyu jamaa yaani kidevu kilivyolambwa na topaz kama kazaliwa leo,hapo ndevu na sharubu havina nafasi ktk mwili wake.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Ha ha ha ha ha nimecheka sanaaa,Watu humu ndani MNA mambo sanaaa
 
Back
Top Bottom