Ofcoz, mie ni mkareezyyy wa pande hizi sema tu si-mind ma-selfie kama ze mkareezi wa pande za mitaaa ya kati... sema nini, usigope miss neddy, sema tu cku ukitaka kuja ucje na hiyo miviatu yenu cjui wenyewe mnaitakaga high heels cjui madudu gani cjui manake tutakuona unatulutea mashauzi... piga simple kisha dondoka mtaani kwetu, lazima utakupenda tu!hahaha nimekuelewa lol huo ufafanuzi balaaa aiseeee salute kwako le mkareziiiii huko kwenu aiseee roho mkononi NasDaz nakutaka radhi sikujua aaieeee
Wasikuumize kichwa hao Jestina... hata Le Mutuz mwenyewe keshawapuuza! Akiwaambia yeye ni celeb wanamkatalia wakati haipiti wiki bila watu ku-post kuhusu Le Baharia!Character assasination mbona nchi yetu ni ya amani...why is this soo much hate?Mnh mna kazi
hahahahahahaha
Character assasination mbona nchi yetu ni ya amani...why is this soo much hate?Mnh mna kazi😈😈😈😈😈😬😬
Ofcoz, mie ni mkareezyyy wa pande hizi sema tu si-mind ma-selfie kama ze mkareezi wa pande za mitaaa ya kati... sema nini, usigope miss neddy, sema tu cku ukitaka kuja ucje na hiyo miviatu yenu cjui wenyewe mnaitakaga high heels cjui madudu gani cjui manake tutakuona unatulutea mashauzi... piga simple kisha dondoka mtaani kwetu, lazima utakupenda tu!
Hahahahaaa... nilipoona neno "vigold vyangu...!" nikadhani umesema lakini vigold vyako hutaviacha, lazima uvitinge... nilitaka nikujibu hewallah mama lakini mi simo... njoo uwawezeshe vijana kwa mtaji usio na riba, siku hizi hawana tena mpango wa kwenda South Africa; wanapenda biashara tatizo mtaji... ukisikia gombe hilo, hesabu umekwisha... watu wanataka vitu vyao!hahaha nikipiga heels watanishangaa na hivi mwendo shurti ubadilike haha nitapiga dera matata basi na visimple ila vigold vyangu nitaviacha home wasije wakanitoa sikio hhahaa hiyo mitaa hatari sana
Hahahahaaa... nilipoona neno "vigold vyangu...!" nikadhani umesema lakini vigold vyako hutaviacha, lazima uvitinge... nilitaka nikujibu hewallah mama lakini mi simo... njoo uwawezeshe vijana kwa mtaji usio na riba, siku hizi hawana tena mpango wa kwenda South Africa; wanapenda biashara tatizo mtaji... ukisikia gombe hilo, hesabu umekwisha... watu wanataka vitu vyao!
Kwani wewe unapolipwa bonus kazini kwenu say ya mwaka huu ina maana bonus ikija mwaka ujao hutachukua? Mtu anachukua gold zake mnazomlingishia anaanzisha biashara ya ganja... ukimlingishia nyingine anabeba, anaongezea mtaji... baada ya mwaka, anaanza kuwa supplier na yeye!!hahahah hatari sana tatizo sio mtaji mbona wakiiba mara moja hawaachi kama ni mtaji wanaiba mara nyingi nyingi
Mwacheni Le Mutuz Masauti ya Umeme... super boy, Once Le Baharia ale ujana... tangu lini Mzee akawa na baba... nyie vipi... mzee huyu hapa:View attachment 199268 sasa hebu mlinganisheni na huyu:View attachment 199267... jamaa softiiiiii, tosha kabisa kuwa mjukuu wa Mbuta Nanga!
Dah! Huyu jamaa yaani kidevu kilivyolambwa na topaz kama kazaliwa leo,hapo ndevu na sharubu havina nafasi ktk mwili wake.Hahahahahaha uknw wabebiz wakarez wanapenda mashati yangu hahahahaha I like it
View attachment 199755
Ktk picha zake zooooote hii ndio nimeielewa
View attachment 199755
Ktk picha zake zooooote hii ndio nimeielewa
Huyu babu ugonjwa wa presha hataupata kamwe maana kashajitoa ufahamu.
Duh
Ila baba ake kazeeka!