Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
le baharia yeye zake ni mabebez wenye mtindiz baas! Mambo ya le eskro akaunti, le IPTL, le ivory yeye hayamhusu!
Na ndicho hasa ninachompendea...biashara haramu hazitaki...yeye zake ni bata na wabebez wa ukweli,insragram party n.k ila sio ufisadi...
ila anapenda kupiga picha na mafisadi wa hizo biashara zote akiwabatiza ule-bilionea!
Picha sio tatizo jamani...mbona watu wanapiga picha na wanyama?
Mimi namuongelea Le Mutuz
Vipi wewe hukutoa mchango wa harusi madam??ha ha ha le baharia ni zaidi ya comedian
Walau alijiite Le KendezWe kende unafikiri wote wa JF wako Tz? Dunia ina time zones tofauti. Halafu ID ya kende halaula. Ziko kende ngapi?