Babu yangu Ze King of All Network Le Mutuz...Turudishie michango ya harusi

le baharia yeye zake ni mabebez wenye mtindiz baas! Mambo ya le eskro akaunti, le IPTL, le ivory yeye hayamhusu!
 
Na ndicho hasa ninachompendea...biashara haramu hazitaki...yeye zake ni bata na wabebez wa ukweli,insragram party n.k ila sio ufisadi...
 
ila anapenda kupiga picha na mafisadi wa hizo biashara zote akiwabatiza ule-bilionea!
 
Picha sio tatizo jamani...mbona watu wanapiga picha na wanyama?
Mimi namuongelea Le Mutuz
 
we kwako kama hamna tabu kupiga picha na drug dealers na mafisadi basi sawa.
 
Back
Top Bottom