Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki nacho ni kizungu? Yai ni shida sana aiseeSame appy to me
Tatizo wanajiita mameneja na kuanzisha kampuni bila kuelewa nini maana ya kampuni.Kampuni inadaiwa...kampuni ina wakurugenzi...babu Tale ni mkurugenzi...hili deni linamhusu aisee...
Kwan huyo Abdu bonge marehem alikua anaswihi kuingia huo mkataba, na je huyo mzee ana Bussines Entity inayoeleweka yenye Tin Number na analipa kodi au ni mdau tu, pia sheria inasemaje kuhusu hisa endapo mwanahisa mmoja anakua na burden je linakua ni la kampuni au mtu binafsi?huyu kihiyo kweli,yaani kwenye kampuni jina lake lipo lakini kwenye kudaiwa hataki,kama aliamua kujiondoa si wangeenda kwa mwanasheria kabla brother hajafariki
wabongo wanajua maana ya kampuni sasa?Inadaiwa kampuni. Kampuni ni mali ya wakurugenzi wake. Yeye ni mmoja wa wakurugenzi/wamiliki. Kesi ipo wazi kabisa. Akubali wamalize nje ya mahakama ili apate nafuu lakini kulipa hatakwepa.
Inavyoonekana aliidharau hii kesi na hakujua kwamba ina matokeo mabaya kwake. Sasa mambo yameshaharibika ndio anataka kuyaunda. Lakini hili suala linaonyesha nyuma ya pazia Babutale haelewi masuala ya uendeshaji wa kampuni.Inadaiwa kampuni. Kampuni ni mali ya wakurugenzi wake. Yeye ni mmoja wa wakurugenzi/wamiliki. Kesi ipo wazi kabisa. Akubali wamalize nje ya mahakama ili apate nafuu lakini kulipa hatakwepa.
Mali za kampuni na wamiliki kwioAtangaze kampuni imefilisika
hapana sidhani kama amekosea mimi nilisema vile kwa kuwa sijui chochote kuhusu mkasa huo kama tu "babu tale" asivyoelewa chuchote kuhusu tuhuma zileKwa faida yangu na wenzangu wasioijua lugha hii tusaidianeni wakuu, ukisema ''I know nothing'' kosa lake ni nini? na badala yake ilitakiwa asemaje? longi mapexa sanif Azulene
nimeuliza kwania njema wakuu, asanteni.
Mwanasheria wa ma celebrity yupo atamsaidia Albert msando hope will overcome thisAmtafute mwanasheria amshauri nini cha kufanya, na aache kuropoka kwenye media anawapa faida wabaya wake wajiandae.
1.Kwan huyo Abdu bonge marehem alikua anaswihi kuingia huo mkataba, na 2. je huyo mzee ana Bussines Entity inayoeleweka yenye Tin Number na analipa kodi au ni mdau tu, pia 3.sheria inasemaje kuhusu hisa endapo mwanahisa mmoja anakua na burden je linakua ni la kampuni au mtu binafsi?
hakuna tatizo hapo, I know nothing has same meaning with I dont know, its just the matter of double negation but yupo sahihi kabisa, wenye matatizo ni hao wanaoshangaa na kujifanya wanajuaaaKwa faida yangu na wenzangu wasioijua lugha hii tusaidianeni wakuu, ukisema ''I know nothing'' kosa lake ni nini? na badala yake ilitakiwa asemaje? longi mapexa sanif Azulene
nimeuliza kwania njema wakuu, asanteni.