Babutale aeleza yake kuhusiana na amri ya mahakama ya kukamatwa na kumlipa sheikh

Babutale aeleza yake kuhusiana na amri ya mahakama ya kukamatwa na kumlipa sheikh

Kama huyo Abdu Bonge aliingia mkataba na huyo shekhe bila kuihusisha tip top, inaamanisha kuwa BABU TALE hahusiki,kwani deni binafsi la director haliihusu kampuni, ila kama makubaliano yalikuwa ni kati ya shekhe na kampuni ya tip top, basi Shekhe alipwe fedha zake.
 
Kwan huyo Abdu bonge marehem alikua anaswihi kuingia huo mkataba, na je huyo mzee ana Bussines Entity inayoeleweka yenye Tin Number na analipa kodi au ni mdau tu, pia sheria inasemaje kuhusu hisa endapo mwanahisa mmoja anakua na burden je linakua ni la kampuni au mtu binafsi?
Nadhani Tale kachanganya file [emoji23] angesema ilikuwa Partnership [emoji23] yenye partners wawili ... Hivyo kale ka General Rule kangeapply...

Siyo mbaya, acha ajifunze kwa undani majukumu ya Meneja/ Mkurugenzi kwenye Company kisheria zaidi
 
Kwan huyo Abdu bonge marehem alikua anaswihi kuingia huo mkataba, na je huyo mzee ana Bussines Entity inayoeleweka yenye Tin Number na analipa kodi au ni mdau tu, pia sheria inasemaje kuhusu hisa endapo mwanahisa mmoja anakua na burden je linakua ni la kampuni au mtu binafsi?
Walisaini mkataba as Tip Top Connection ambayo katika jicho la sheria ni Company
 
"Mnanchafua jina langu kwa kuwa nitakuwa mbunge na waziri wa nchi hii...."
 
Kama huyo Abdu Bonge aliingia mkataba na huyo shekhe bila kuihusisha tip top, inaamanisha kuwa BABU TALE hahusiki,kwani deni binafsi la director haliihusu kampuni, ila kama makubaliano yalikuwa ni kati ya shekhe na kampuni ya tip top, basi Shekhe alipwe fedha zake.
What if Abdu Bonge aliingia mikataba kwa kutumia jina na mhuri wa Tip Top Connection ambayo Babu Tale nae ni Director?
 
Jinga kabisa hili sasa kama alitaka kujitoa kwenye hio kampuni si angejitoa? Iki abaki marehemu kaka yake na huyo iddi? Shida ni sheria kufanya vitu ki layman kuna cost sasa watu wamelift corporate veil unalalamika nini? Maana huyu jamaa kipindi kesi inaendelea alishawahi leta utetezi wa kijinga na majigambo
 
1.

4. Inavyoonekana tip top ni kampuni na mzee alikuwa kaingia mkataba na kampuni ya tip top (naamini hivyo) na Tale ni mmoja Ma-director wa hiyo kampuni ...katika hali ya kawaida kampuni ndo ilipaswa kudaiwa na wala sio wanahisa au Directors

Inawezekana pia imesajiliwa kama PARTNERSHIP BUSINESS ambayo wadaiwa kisheria huwa ni wamiliki personally, na hutoa pesa yao ya mfukoni kulipa madeni ya biashara.

Babu Tale hawezi kujifanya hii kesi imemshtukiza, mpaka kufika hapo ilipo ali ignore court summons nyingi na kumpiga chenga ndefu Ustaadhi. Ndio maana anasema Mzee mwenyewe simjui. Mkurugenzi hujui watu wanaoidai kampuni? Reckless and costly mismanagement.
 
Vilevile pia inawezekana kuwashtaki wakurugenzi wa kampuni binafsi inapoonekana kuna janjajanja wanafanya yaani LIFTING COOPERATE VEIL Sijajua lakini kama walifikia huko

Ni kweli walikuwa wanaleta janjajanja :

...."Babu Tale, ambaye pia ni meneja wa mwanamuziki maarufu wa 'Bongo Fleva' Diamond Platnumz, alikamatwa kufuatia amri iliyotolewa Februari 16, 2018 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda Maalum, Wilbard Mashauri iliyoelekeza kukamatwa mtuhumiwa huyo na ndugu yake, Idd Taletale.

Amri hiyo pia, ilielekeza watakapokamatwa wapelekwe Gereza la Ukonga wakiwa wafungwa wa kesi ya madai, hadi hapo mahakama hiyo itakapotoa maelekezo mengine.

Hata hivyo, Babu Tale hakuweza kupatikana na ndipo mahakama hiyo ikatoa amri nyingine kama hiyo Aprili 4 mwaka huu. Tangu hapo wamekuwa wakitafutwa bila mafanikio hadi jana alipokamatwa".............
 
Jinga kabisa hili sasa kama alitaka kujitoa kwenye hio kampuni si angejitoa? Iki abaki marehemu kaka yake na huyo iddi? Shida ni sheria kufanya vitu ki layman kuna cost sasa watu wamelift corporate veil unalalamika nini? Maana huyu jamaa kipindi kesi inaendelea alishawahi leta utetezi wa kijinga na majigambo
Yeye amekariri kuwa akishaenda tu kwa mganga tu shuhuli imeisha
 
Elimu tatizo kwa bwana Babu tale....[emoji23][emoji23][emoji23],anakubali yeye ni miongoni mwa wamiliki wa kampuni lakini anagoma kulipa ,amekufa kaka lakini kampuni iliyoshtakiwa IPO...hapo alipe tu,au akate rufaa
kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya ulimbo""
 
Back
Top Bottom