Babuu wa kitaa na media (Tv)


Duuuh Mpe Pole Babuu wa Kitaa!!
 
Binaaadamu bana hapa kwenye huu uzi binadam waliamua kumchukia kisa inasemekana analipwa hela ndefu tu hilo ndo kosa lake la kupigwa madongo yote haya
 
Kaka voda ni nani hapo maana katajwa kwenye chorus mara nyingi
 
Kaka voda ni nani hapo maana katajwa kwenye chorus mara nyingi
Hizo ni nyimbo mbili tofauti, MOJA ya langa kileo, nyingine ya jay moe

Voda milionea mshikaji mmoja aliekuwa anadhamini shindano la voda milionea, watu wa kino clain wanamjua sana
 
HIvi huyu jamaa kaka voda bado yupo? Eti mrangi Nakumbuka hizi lines zilileta beef kwa Langa na Mo, japo baadae Langa alichana pia huu King Kong III umeusahau kabla ya kifo chake

"Amani kwako kaka Voda Milionea, Mwambie mdogo wako sili poda wala mmea"
 
Hiyo ngoma inatwa KIFO,JELA AU TAASISI-LANGA KILEO(R I.P)
 
Mungu amfanyie wepesi apone kabisa, kansa .
 
Kwani ye alishatangaza anaumwa Nini au maumbuzi tu, kabla ujafa ujaumbika, linalompata mwenzako na wewe linaweza kukupata.
 
huyu jamaa kwa sasa anafanana na Geez Mabovu yanii ni kama mapacha kutokana na wote kutumia madawa kupitiliza
Ngoja nikukatize mzee, kwa sasa jamaa anaumwa aligundulika na tatizo la Kansa, so futa hii kitu ya madawa kwenye kichwa chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…