King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Uhuni ni kawaida mbona kina miraji walikuwa wahuni tu na ni wakishua ila daily wapo maskani na kina babuu kina ngwea kina langa, hilo sio swala jamaa Kasoma UCT capetown mambo ya media sijui unajua ada ya pale kaka..jamaa anajichanganya sana huwezi kumjua mimi nimekaa na cousin wake jozi ndio alienipa huo mkanda. Lini umemuona akiwa na maisha mabovu? Hata now anaumwa lkn kwake fresh na anapush ndinga kali, angekuwa hoehae matibabu ya cancer yangemtoa kwenye reli. Anyways sio ishu yakubishania bwana hayo maisha ya watu
Duuuh Mpe Pole Babuu wa Kitaa!!