Babuu wa kitaa na media (Tv)

Babuu wa kitaa na media (Tv)

Uhuni ni kawaida mbona kina miraji walikuwa wahuni tu na ni wakishua ila daily wapo maskani na kina babuu kina ngwea kina langa, hilo sio swala jamaa Kasoma UCT capetown mambo ya media sijui unajua ada ya pale kaka..jamaa anajichanganya sana huwezi kumjua mimi nimekaa na cousin wake jozi ndio alienipa huo mkanda. Lini umemuona akiwa na maisha mabovu? Hata now anaumwa lkn kwake fresh na anapush ndinga kali, angekuwa hoehae matibabu ya cancer yangemtoa kwenye reli. Anyways sio ishu yakubishania bwana hayo maisha ya watu

Duuuh Mpe Pole Babuu wa Kitaa!!
 
Binaaadamu bana hapa kwenye huu uzi binadam waliamua kumchukia kisa inasemekana analipwa hela ndefu tu hilo ndo kosa lake la kupigwa madongo yote haya
 
"Wao wakimwaga ugali nasi tunamwaga mboga roho ngumu siyo uoga Amani kwa Kaka Voda" - Babuu - KIMBIA

"Amani kwa Kaka Voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea" - Jay Mo - JIPANGE

"Amani kwa Kaka Voda Milionea ,Mwambie mdogo wako aache Ushoga na Umbea " - Gangster
Kaka voda ni nani hapo maana katajwa kwenye chorus mara nyingi
 
Kaka voda ni nani hapo maana katajwa kwenye chorus mara nyingi
Hizo ni nyimbo mbili tofauti, MOJA ya langa kileo, nyingine ya jay moe

Voda milionea mshikaji mmoja aliekuwa anadhamini shindano la voda milionea, watu wa kino clain wanamjua sana
 
"Wao wakimwaga ugali nasi tunamwaga mboga roho ngumu siyo uoga Amani kwa Kaka Voda" - Babuu - KIMBIA

"Amani kwa Kaka Voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea" - Jay Mo - JIPANGE

"Amani kwa Kaka Voda Milionea ,Mwambie mdogo wako aache Ushoga na Umbea " - Gangster
HIvi huyu jamaa kaka voda bado yupo? Eti mrangi Nakumbuka hizi lines zilileta beef kwa Langa na Mo, japo baadae Langa alichana pia huu King Kong III umeusahau kabla ya kifo chake

"Amani kwako kaka Voda Milionea, Mwambie mdogo wako sili poda wala mmea"
 
Hiyo ngoma inatwa KIFO,JELA AU TAASISI-LANGA KILEO(R I.P)
 
Mungu amfanyie wepesi apone kabisa, kansa .
 
Kwani ye alishatangaza anaumwa Nini au maumbuzi tu, kabla ujafa ujaumbika, linalompata mwenzako na wewe linaweza kukupata.
 
huyu jamaa kwa sasa anafanana na Geez Mabovu yanii ni kama mapacha kutokana na wote kutumia madawa kupitiliza
Ngoja nikukatize mzee, kwa sasa jamaa anaumwa aligundulika na tatizo la Kansa, so futa hii kitu ya madawa kwenye kichwa chako
 
Back
Top Bottom