Baby Come Back.........

Baby Come Back.........

Kuna lijamaa lilikuwa linamtongoza rafiki ya mke wake...nikamwuliza mkeo akijua itakuwaje? Likanambia ntamwambia "Shetani alinidanyanya" Likafanikiwa kummega, na mkewe akajua wakatengana.

Badae jamaa likamfuata mke wake likamwambia warudiane kwa kuwa ulikuwa mpango wa shetani....Wakarudiana, hakikupita kipindi shetani akafanya vitu vyake jamaa likamuumiza tena mkewe.

Halafu babu DC haamini kuwa vitu vingine tunamsingizia shetani.

Mtu muumizaji huwa haachi kama jasiri asivoacha asili.....nisaidieani kumwambia MJ1 mkimuona.

Samahani babu,
kwa jinsi ninavyokusoma hapa ni kama mnajiongelea wenyewe (ISC members)
coz what u are doin ni sawa sawa na kile alichokuwa anafanya hilo lijamaa hapo juu....
the only difference ni kwamba nyinyi hamjakamatwa bado......possibly!
but hiyo siku ikifika na nyie mtatoa the same reasons....shetani na wake zenu watawasamehe
na bado mtaendelea........
 
hahaha mi nalindwa mjukuu bana hilo lijitu litadunda tu hapa......lol
hapo kwenye RED bila kuja na huyo shetani nikamuona na shetani (kama anaweza mpata lakini) akakiri kua kosa ni lake swetani.....otherwise hakuna msamaha hapo!!

Imenibidi nicheke tu mwenyewe

Aksante Kimey........mwingine anakwambia unajua ni mama yangu tu alinidanganya ........asa sijui anataka ukamsute mama mkwe!!
 
Samahani babu,
kwa jinsi ninavyokusoma hapa ni kama mnajiongelea wenyewe (ISC members)
coz what u are doin ni sawa sawa na kile alichokuwa anafanya hilo lijamaa hapo juu....
the only difference ni kwamba nyinyi hamjakamatwa bado......possibly!
but hiyo siku ikifika na nyie mtatoa the same reasons....shetani na wake zenu watawasamehe
na bado mtaendelea........

Kwa sababu ya wepesi wenu wa kukubali BABY COME BACK, sisi tunawahidi tutaendelea kuwaumiza kwa kuwa tunajua tukiwaambia 'shetani katupitia' nyie mnatuambia BABY COME BACK...maisha yanasonga mbele.

Smiles darling...Jasiri haachi asili....Muumizaji ni muumizaji tu...ataendela kukuumiza.
 
Kuna lijamaa lilikuwa linamtongoza rafiki ya mke wake...nikamwuliza mkeo akijua itakuwaje? Likanambia ntamwambia "Shetani alinidanyanya" Likafanikiwa kummega, na mkewe akajua wakatengana.

Badae jamaa likamfuata mke wake likamwambia warudiane kwa kuwa ulikuwa mpango wa shetani....Wakarudiana, hakikupita kipindi shetani akafanya vitu vyake jamaa likamuumiza tena mkewe.

Halafu babu DC haamini kuwa vitu vingine tunamsingizia shetani.

Mtu muumizaji huwa haachi kama jasiri asivoacha asili.....nisaidieani kumwambia MJ1 mkimuona.

Nimekupata Asprin...........lakini duh laiti moyo ungekuwa na kizibo, tungefungua na kuona ndani
 
Pole sana. Bora hauna kizibo, Ungekuwa na kizibo watu wengi wangekufa kabla ziraili hajawatembelea.

Kifo cha penzi ni kifo kibaya, usikiombee.
 
Kwa sababu ya wepesi wenu wa kukubali BABY COME BACK, sisi tunawahidi tutaendelea kuwaumiza kwa kuwa tunajua tukiwaambia 'shetani katupitia' nyie mnatuambia BABY COME BACK...maisha yanasonga mbele.

Smiles darling...Jasiri haachi asili....Muumizaji ni muumizaji tu...ataendela kukuumiza.

Dah.........
nimejifunza mengi sana hapa.....
asante kwa twisheni babu!
Lakini; swali tu kidogo.......
hivi ukishamuona mwenzio anaumia unajisikiaje vile?
inakuwaje pale unapoumia wewe afu unamuona mwenzio wala hata hajali.....
utajiskiaje???
 
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Dah.........
nimejifunza mengi sana hapa.....
asante kwa twisheni babu!
Lakini; swali tu kidogo.......
hivi ukishamuona mwenzio anaumia unajisikiaje vile?
inakuwaje pale unapoumia wewe afu unamuona mwenzio wala hata hajali.....
utajiskiaje???

Chukua hatua haraka usiendelee kuumizwa
 
Baby come back...????
Mtizamo wangu:
Inategemea na mwisho wenu wa mara ya mwisho (kuna wengine wanaachana na kurudiana hadi hawakumbuki idadi)...
MJ1 umezungumzia kuachana kwa kashfa, matusi n.k.
Sio vizuri kurudi nyuma uamuapo kusonga mbele, baada ya maumivu ya kuachana......
BTW: Hivi 'baby come back' inatakiwa imhuzunishe au kumfariji anayeombwa msamaha? Ngoja niombe mods waunganishe hii na ile ya kulivua pendo.....
**** Rose I never left....am always around....geuka nyuma utaniona nikiangalia kila hatua upigayo unapotembea....:love::love::love:

R.R aksante kwa post yako

Ni kweli mapenzi yanafaa yawe na furaha na si karaha........mimi nitasema ni nini kinachokuja akilini mwangu mara nipatapo mwaliko wa Baby come back.

Kwa mara ya kwanza (Kwa kuwa nilikuwa najua kaondoka kimakosa- hata kashfa alizokuwa akitoa zilikuwa haziumi sana kwani hazikuwa na ukweli wowote niliashumu ni maneno ya mfa maji) Then alipoleta invitation nilikaa nikafurahi sana (I gusee I was still in love with the person) nikasema wow at least ameamka usingizini na kama limbwata basi lilikuwa limeexpire kwa huyo alonmwekea....nikafungua mikono nikampokea tena kwa kilio cha baby am sorry too..........I shouldnt let you go!!!

Then mara ya pili..lazima nitasita na kuuliza why aliondoka mara ya pili na kuniumiza kivile?? je lessons alizopata mara mbili alipokwenda nje kwa wengine na kukuta hakufai, kunajustify kuwa I am the best of all catches?? Au bado atakuwa na nguvu za kuendelea kutafuta viota vipya??......

Lakini pia inategemea na stage ya mahusiano yenu
 
Dah.........
nimejifunza mengi sana hapa.....
asante kwa twisheni babu!
Lakini; swali tu kidogo.......
hivi ukishamuona mwenzio anaumia unajisikiaje vile?
inakuwaje pale unapoumia wewe afu unamuona mwenzio wala hata hajali.....
utajiskiaje???
Nilishawahi kuumia, nayajua maumivu ya mapenzi. Nikimuona mtu anaumia najua maumivu anayoyapata. Usiombee.

Nilishaumizwa kiasi kwamba nimekuwa sugu. Niko tayari kuumizwa na watu 10 nyakati tofauti kuliko niumizwe na mtu mmoja mara mbili.
 
R.R aksante kwa post yako

Ni kweli mapenzi yanafaa yawe na furaha na si karaha........mimi nitasema ni nini kinachokuja akilini mwangu mara nipatapo mwaliko wa Baby come back.

Kwa mara ya kwanza (Kwa kuwa nilikuwa najua kaondoka kimakosa- hata kashfa alizokuwa akitoa zilikuwa haziumi sana kwani hazikuwa na ukweli wowote niliashumu ni maneno ya mfa maji) Then alipoleta invitation nilikaa nikafurahi sana (I gusee I was still in love with the person) nikasema wow at least ameamka usingizini na kama limbwata basi lilikuwa limeexpire kwa huyo alonmwekea....nikafungua mikono nikampokea tena kwa kilio cha baby am sorry too..........I shouldnt let you go!!!

Then mara ya pili..lazima nitasita na kuuliza why aliondoka mara ya pili na kuniumiza kivile?? je lessons alizopata mara mbili alipokwenda nje kwa wengine na kukuta hakufai, kunajustify kuwa I am the best of all catches?? Au bado atakuwa na nguvu za kuendelea kutafuta viota vipya??......

Lakini pia inategemea na stage ya mahusiano yenu

Jiandae na pigo la tatu, dont say I didnt warn you yooooooooo!
 
Hivi nyie jukwaa la Michezo hamjui mlango ulipo??

Waone kwanza vile......................Nitawababy comisha kwa waliowatenda sasa hivi

Hahahaaa..sasa ukishambebi kamisha usisahau kumwekea limbwata kabla shetani hajampitia tena. Afu na wewe ujiwekee tego, lol!
 
jamani kuna mtu anaitwa KIBEBII humu ndani.......!naomba anipigie simu
 
Back
Top Bottom