Baby Come Back.........

We unaambatana na walevi, mi nawaogopa bana. DEUSI peke yake anaweza kumaliza dabe zima la mbege.
nimeshamblock kwenye namba zangu

she will not reach me as for today
 
We unaambatana na walevi, mi nawaogopa bana. DEUSI peke yake anaweza kumaliza dabe zima la mbege.

Huyu jamaa nasikia ana matumbo mawili anakunywa na kula mdudu ikifika usiku anacheua ndo anapata stimu
 
ingawa jana ulituudhi sana kwa kutugandisha baa masaa mawili bila vinywaji......!umeongea jambo la mbolea sana,kamata hii:
The Following User Says Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 


Skulimeti, pitia kwa Emmy akupe bia tano kwa bili yangu.
 
Aksante uporoto01 ..........well nilishapata hilo wazo but sijalifanyia kazi.

Na kama mliachana kwa shari?...........
Mkiachana kwa shari mara nyingi si vema kurudiana kunakua na 'too much bad blood' lakini kuna rafiki yangu waliachana vibaya na mpenzi wake lakini baada ya muda sista akaomba msamaha warudiane jamaa akakataa sasa huyu dada alikuwa na ufunguo wa nyumba ya rafiki yangu akawa kila siku anawahi kurudi kazini anafanya usafi na kumpikia na kuondoka kabla jamaa hajarudi baada ya wiki mbili jamaa akamsamehe sasa hivi wana watoto watatu.
 
Skulimeti, pitia kwa Emmy akupe bia tano kwa bili yangu.

Skulimeti, hapo penye "red" hiyo inaitwa Baby You will Always Come Back - No Matter what! Mwambie Teamo kuwa "timing" ya jana ilikuwa mbovu, maana mkoloni alikaba mpaka penality - Na bahati mbaya TANESCO jana hawakukata umeme - kwahiyo ile "killer punch" aka kisingizio cha kuangalia Mpira Baa mpya was invalid!
 

Hahaha....wife aliamua kukukamusha back lol....damn TANESCO yaani hawajui siku nzuri za kukata umeme.
 

Hizi strategy za kusamehewa....one of its own...
Kwamba unazubiri mvua inyeshe ndo uende kuomba msamaha....ukiwa umelowa chapachapa....!
 
:drum: hapo kama DJ Kimey akipiga drums kama baba Diana
Dah hommie wacha kunikumbushia kazi yangu...lol....ivi lini tena kuna mbuzi ni resume my work? nikichoka namuachia DJ Teamo aendelee siku ile niliona kazi yake nikasema he will be my assistant wakati mi nakunywa RED lebel yeye ana du ze nidifuli
Yule itabidi tumkalishe meza moja na Generation Y na Kimey.
hahaha itakua mupe muruke mpatie...huwezi kunywa kama unamwagilia mchicha banaaa!! lol
 
Habari yake BiG.....
naoana umemkumbuka Sam Wa Ukweli na Kisiwa cha malavidaviii......(sina raha sina............................ rahaaaaa....... Wapi Teamo?)
Ujanani unakuwa na mechi miiingi za mchangani.........then unpiga mitungi balaaaa..........unaumiza mkeo...unavunja moyo wake.......thene unakuwa kisima cha maluvy duvy!!!............................Habari yako binafsi bana!
 
Ujanani unakuwa na mechi miiingi za mchangani.........then unpiga mitungi balaaaa..........unaumiza mkeo...unavunja moyo wake.......thene unakuwa kisima cha maluvy duvy!!!............................Habari yako binafsi bana!

Unatafutwa King Staa, hukulipia chumba jana....vipi tendego lako halitaki kutupa sababu ya kuja kukupa pole ili tupate ile sababu nyingine.
 

Aksante uporoto01 duh.......kweli utafanya kila mbinu. I remember ex-wake Mr wangu..............aliposikia mr. anataka kuoa wacha alete viroja vya baby come back............ yaani naye alikuwaga na funguo loh mkitoka zenu kazini umepitiwa ukiingia ndani wakuta kila kitu kimefanyika mashuka kitandani yamebadilishwa ukijiuliza mbona mie nlikutandikia jeupe sasa liko la cream .tunatumbuliana tu mimacho. Hadi siku tulipomkuta anasugua masufuria !! Mr. alicheka sana kwa sababu she was a city girl enzi zao kula ni take aways.ilibidi amulize coz ya kusugua masufuria ameipatia chuo gani.


All in all mwisho wa siku akamletea mimba kwa wakwe akidai ni ya Mr wangu (hapa ninajua Mr. alichepuka kidogo) maana suluhisho la kwanza lilikuwa twende tukacheck DNA.......... kama hakuwa amegusa in years why DNA test?? sema tu bahati haikuwa yake.
 
Hajawahi kunifumania wala kunihisi, ataumiaje? Niko makini sana nisimuumize asee.

Orait babu.....
ila....have u ever thought-kwa mfano yaani siku akapata kujua -- kwa bahati mbaya!
si ulisha wahi kusikia ule msemo unasema 'truth always has a way to come out'
unafikiri itakuwaje....akijua?

anyways....am jus thinking yaani!
ndio maana nilisema i dont want to say anythin....dah!

back to being mute.....:tape2::tape2:
 
Hizi strategy za kusamehewa....one of its own...
Kwamba unazubiri mvua inyeshe ndo uende kuomba msamaha....ukiwa umelowa chapachapa....!
Eti??? .........ghafla tu unamfanya mama kuku akuonee huruma kifaranga kilicholowa ah.................mapenzi!!
 
Aksante Baba _Enock.............
 
Eti??? .........ghafla tu unamfanya mama kuku akuonee huruma kifaranga kilicholowa ah.................mapenzi!!

Kama najua weakpoint yako ni huruma....then natumia hiyo nafasi ipasavyo....
 
Unatafutwa King Staa, hukulipia chumba jana....vipi tendego lako halitaki kutupa sababu ya kuja kukupa pole ili tupate ile sababu nyingine.

Kingstar.....eti yule eliza mdogo mdogo alijifanya hajui bei ya vyumba...:frog:
 
Hujahisi vibaya kumnyang'anya tonge mdomoni mwenzio,ulipoona juhudi zake ungemwachia alikosea step kidogo na kujua kosa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…