MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #261
......haikuwa ngumu kwani nilijiweka pembeni hadi wamalizane nadhani kile kipindi cha kukaa kando ndo Mr. akamega.........sijui iliishia wapi maana Mr alikuja na ushahidi kuwa wamemalizana na mdada ameelewa kwa sababu wakati mie nakutana na Mr wao walikuwa walishaachana kama miaka 2 ilishapita..... so at least sikumnyang'anya tonge mdomoni.Hujahisi vibaya kumnyang'anya tonge mdomoni mwenzio,ulipoona juhudi zake ungemwachia alikosea step kidogo na kujua kosa lake.
Psss! mwindaji mwenzangu AD na TF hawaongei hii chance yetu kule usisema sijakustua.Rule no. 1. mwenza ni kama sigara, ikimaliza moja unawasha nyengine.
Rule no 2. karne hii hakuna mapenzi, ukiamini sana kwamba unapenda au unapendwa basi karipoti kwa daktari wa akili, huenda una matatizo flani.
ukibalance hizo 2 conflicting rule nazani tunaweza tukasema sredi closed.
Hii inaapply hata mkiambiana kwa hasira?.hamna 2nd chances?MwanaJamiiOne:
Whatever happened mpaka mkafikia kusema "sasa basi" will always haunt your soul and mind! Hakuna any sense of Love baada ya hapo.. Normally kinachotokea ni kwamba wote wawili baada ya "kuachana" huko mlikoelekea kumaliza upweke wenu mlikutana na "ghosts" as the result and probably coincidentally ndiyo "jitu" linakuja na kusema " oh you know this oh you know that..and a lot of blah's...!
Baby come back is a failure in itself.. Things will never be the same - No way!
hahahaha nimecheka sana hapa....!!Psss! mwindaji mwenzangu AD na TF hawaongei hii chance yetu kule usisema sijakustua.
hahahaha nimecheka sana hapa....!!
:Cry::Cry::Cry::Cry: why me!!Kimey and uporoto01 banned....:tinfoil3:
Si imetokea chance tunastuana tu.Kimey and uporoto01 banned....:tinfoil3:
:Cry::Cry::Cry::Cry: why me!!
Si imetokea chance tunastuana tu.
Kama Mod no.1 unatakiwa ukimban mtu unasema na sababu ili wasirudie tena........tutajuaje kama huact under your personal impulses? Usimwonee Babu Kimey..........sema kosaTena mnastahili seva ban......:ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban:
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..
Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................
What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??
Mapenzi ah......................
Dah thats why I like you mjukuu, yaani makabaila wanakuja na mbinu mpya kabsaa na mjukuu umeligundua hilo ukakemea....Kama Mod no.1 unatakiwa ukimban mtu unasema na sababu ili wasirudie tena........tutajuaje kama huact under your personal impulses? Usimwonee Babu Kimey..........sema kosa
Kama nawe ulikuwa unasubiri karibu tu,ushindani muhimuTena mnastahili seva ban......:ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban:
Kama Mod no.1 unatakiwa ukimban mtu unasema na sababu ili wasirudie tena........tutajuaje kama huact under your personal impulses? Usimwonee Babu Kimey..........sema kosa
:Cry::Cry::Cry::Cry: why me!!
Kama Mod no.1 unatakiwa ukimban mtu unasema na sababu ili wasirudie tena........tutajuaje kama huact under your personal impulses? Usimwonee Babu Kimey..........sema kosa
Dah thats why I like you mjukuu, yaani makabaila wanakuja na mbinu mpya kabsaa na mjukuu umeligundua hilo ukakemea....
kwa afya yangu na yako kamata hii hapa chini
The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:
Kimey (Today)
Kama nawe ulikuwa unasubiri karibu tu,ushindani muhimu
Kuna nafasi imetokea nikamstua klorokwini nashangaa jamaa kukasirika hivi.
Psss! mwindaji mwenzangu AD na TF hawaongei hii chance yetu kule usisema sijakustua.
Psss! mwindaji mwenzangu AD na TF hawaongei hii chance yetu kule usisema sijakustua.