Baby Come Back.........

Kuna misemo wanaume wengi hutumiaga wakati wakichoka na wakitaka kuacha...kwamba mwanaume haachi na kinachotokea ni kama kapoteza kiatu chake na siku akikipata atakivaa tena.....huu msemo sielewi ukweli wake kiundani ila nadhani umekuwepo baada ya muda mkiachana na kila mtu anaendelea na maisha yake na kukutana na mengi ya dunia hapo sasa ndo unaanza kukumbuka mazuri ya mwenziyo na kurudisha roho nyuma....come back babe....!
Na pia si ni kweli kwamba you dont appreciate until you lose...!
 
u know it just the way i like it..
mmmhhh hii ndo ile inawekewe whipped cream na strawberry on top..???
hahahah lol

swadaktaaaaaaa.........friday hiyoooooo....ungekuwa karibu tungeifanya cocktail iwe kwa glass...just the way u like it!
 
hahahah lol
but he is st...
we are all sinful..

mie nataka kuwa st. sasa ngoja niulize nini ni entry level.. hahah lol

badala ya kuwa ST. ni bora uwe shetani mzee
 
hahahah lol
but he is st...
we are all sinful..

mie nataka kuwa st. sasa ngoja niulize nini ni entry level.. hahah lol
I have got the "wanna be saint guidelines" with me here
Anzia hapa.

Babe, come this way
 
swadaktaaaaaaa.........friday hiyoooooo....ungekuwa karibu tungeifanya cocktail iwe kwa glass...just the way u like it!

mmmmmhh afadhali hata weye unanitamanisha hahhaah lol
just the way i like it hahahah lol
 
badala ya kuwa ST. ni bora uwe shetani mzee
hahahahaaaaa! hivi shetani mzee Teamo yupo wapi? nasikia amefungiwa 104 tangu alipokwenda kula kibua na familia.
 
badala ya kuwa ST. ni bora uwe shetani mzee

mmmhh kwa nini jamani..
mie mbona st. ananitulizaga kitakatifu..

mmmhh namie napenda hiyo kazi ya kutuliza...
borea niwe st..
 
mmmhh kwa nini jamani..
mie mbona st. ananitulizaga kitakatifu..

mmmhh namie napenda hiyo kazi ya kutuliza...
borea niwe st..

ukiwa shetani mzee unageuka kwa enjo
 
:amen::amen::amen:

thanx for the blessings...

i want to be a st too..
an i real need ur help..

Stop the crying...dry up yo eyes...they very beautiful without the tears....
Being a st. needs lots of volunteering....need commitment....acha vyote nifuate....i will show u the way!
 
Afrodenzi,

Vipi leo? naona unacheza Ligi ya Mchangani - Abajaro v/s ??
 
Stop the crying...dry up yo eyes...they very beautiful without the tears....
Being a st. needs lots of volunteering....need commitment....acha vyote nifuate....i will show u the way!

ai halafu watu wasema we so st.mazuri..
mie umesha nifikisha kileleni hata darasa halijaanza..
haya mie niko kwa nyuma nakufuata ,,
twaenda wapi sasa jamani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…