Baby Come Back.........

ai halafu watu wasema we so st.mazuri..
mie umesha nifikisha kileleni hata darasa halijaanza..
haya mie niko kwa nyuma nakufuata ,,
twaenda wapi sasa jamani???

Uza vyote ulivyo navyo...nikabidhi....ila huwezi kuwa st. ukiwa na machozi....
 
Uza vyote ulivyo navyo...nikabidhi....ila huwezi kuwa st. ukiwa na machozi....

mie nilicho nacho ni mume wangu TF tu..
Je nimuuze au nikubadhi yeye hahah lol

machozi usijali ntampata mtu wa kulamba lol
 
mie nilicho nacho ni mume wangu TF tu..
Je nimuuze au nikubadhi yeye hahah lol

machozi usijali ntampata mtu wa kulamba lol

Ukigueka nyuma kumwangalia TF unageuka nguzo ya sukari.....narudia safari ya u-st. haitaki machozi.....
 
Ukigueka nyuma kumwangalia TF unageuka nguzo ya sukari.....narudia safari ya u-st. haitaki machozi.....

mmmhh haya nyuma sigeuki
niseje wafaidisha nyuki bure.mmmmmhhh

mie machozi yangu nitayahitaji kama maji ya kunywa
kwani hii safari inonekana ndefu ,,
kusiwepo na maji wala chakula..

mmmhh hhuuu ni st. ya mbingu au jehanam??
 
Heheeehehee......una uhaba wa imani???
 
Nikikuambia fumba macho nipe mkono...nifate....unafanya...sawa eh??

mmmhh hapo kwenye fumba macho nipe mkono hapo mmmhhh
inanitisha halafu unataka kuweka wapi tu mkono wangu??
hahahahah lol

kukufuata ntakufuata lakini lazima mcho yangu yawe wazi
mmmhh siwaona kuna mlingoti mbele???
 
Macho yako unayahifadhi salama....tutatumia macho mawili..ya kwangu......kumbuka a st. got a better vision....
 
...watu kama hawa wananikumbusha Toilet paper na matumizi yake.

Need I say more?
 
MwjOne, ....ni kweli decisions depends. Kwa experience yangu, BCB mara nyingi naichukulia kama kuna hidden agenda! "Baby-come-back" kwenye scenario uliyoizungumzia, ni muhimu kujiuliza hiyo "ressurected l-o-v-e" inafit wapi kwenye angle hii;

kama treni inarudi nyuma basi we mkubali! ila kama hairudi nyuma.......!Stuka
 
Orait.......
kwahiyo mliconclude nini kwenye hii sredi....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…