Sijakusikia...............I catch them fishes in the running water......
U a fish? Or u luv them fish!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakusikia...............I catch them fishes in the running water......
Ha ha ha lol hommie naona uko kisheria zaidiNgoja tuifadhi hii kama future reference..!
Hivi nyani analeta embe au kokwa?
hahahahaaaaa!!!!!LOVE>Hivi nyani analeta embe au kokwa?
afro denzi the one and the onlynimekuuliza unampenda nani kimapenzi zaidi
maana najua kwenye nyumba yako ndogo ndo ulichokifuata....
Kwa hiyo nataka useme jina langu au huyo dada wa huko nje(pearl)
Ngoja tuifadhi hii kama future reference..!
samaki...............wewe ni samaki?U a fish? Or u luv them fish!
afro denzi the one and the only
Kwenye appeal court ctakua na maneno mengi ni kumwaga evidence tu kwa muheshimiwa judge..!afro denzi the one and the only
Orait.afro denzi the only infii that I wont share ...the rest, i share
samaki...............wewe ni samaki?
afro denzi the one and the only
Halafu bado watu wanabisha hakuna baby come back lol!! Wapi LuLu?i love you to huny buny
im so happy u come back to me....
yani mmeshafunga ndoa humu humu, sasa hivi mnagombana........ninahakika mtaachana humuhumu.........na mm nipo nangoja kum-console Afrodenzi.
Kimpango mkakati zaidi..........a sholder to cry on.
niambie mm nitampelekea ujumbe Via face to face
Nimeipenda staili yako,mi niliambiwa ninyamaze.Just to let ya know I am around.
Just in case ........si unajua. You come this way babe. No going back.
Kwenye appeal court ctakua na maneno mengi ni kumwaga evidence tu kwa muheshimiwa judge..!
Orait.
Nimeipenda staili yako,mi niliambiwa ninyamaze.
Halafu bado watu wanabisha hakuna baby come back lol!! Wapi LuLu?