Baby Come Back.........

Baby Come Back.........

Oyaaaa...Teamo anawashauri mle na wake zenu kule....
 
hakutendwa na mtu nilimchukua mtu wake just kumuonyesha akisusa wenzie twala sasa nimemrudishia akiwa mbichi baada ya kumtumia vyakutosha.
Mlitenda AD?
Mbona analia....
 
hakutendwa na mtu nilimchukua mtu wake just kumuonyesha akisusa wenzie twala sasa nimemrudishia akiwa mbichi baada ya kumtumia vyakutosha.

You mean wet or fresh....
 
hakutendwa na mtu nilimchukua mtu wake just kumuonyesha akisusa wenzie twala sasa nimemrudishia akiwa mbichi baada ya kumtumia vyakutosha.

Hivi ulinitumia au tulitumiana??????
 
Back
Top Bottom