Baby Come Back.........

Baby Come Back.........

hahahaha hivi kumbe tumekubaiana leo ni family day....
ngoja ninunue magazeti yote ya leo wakati nasubiri kibua na makange niwe naperuzi ishu za Dowans..!!

Hamna mtu unaye mbebi kamu baki leo
 
Leo vp mixer ya konyagi na red bull? all ya sorrow will be removed? BTW Lulu alikua anakutafuta...!

mmmhh hiyo safi sana
yaani leo ndo nahitaji hiyo konyagi kuliko siku zote..
mmmhhh

sasa LULU alikuwa aninatafuta wapi tena mtu wangu??
 
mmmhh hiyo safi sana
yaani leo ndo nahitaji hiyo konyagi kuliko siku zote..
mmmhhh

sasa LULU alikuwa aninatafuta wapi tena mtu wangu??
haya jipodoe nikupitia hapo Fasta, The TF tutamkuta kesha fika....
Hapa hapa alikua anakutafuta....!
 
We unaenda kaunta bila kupita nyumbani kula kibua na familia?
hahahahaaa! mi napenda vibua waliopoa........halafu kibua akikutana na konyagi tumboni lazima atakoma!
 
haya jipodoe nikupitia hapo Fasta, The TF tutamkuta kesha fika....
Hapa hapa alikua anakutafuta....!

mmmhh asante sana mkuu..
mie nimsha utinga short shorts sababu leo joto sana..
mmmhh ngoja nimalizie make up..
nipe 15mnt halafu nipitie...

haya nimeona thread nyingine ya ya lulu "hajisikii "
ngoja nikampe maneno matamu kidogo...
hahaha lol:car:
 
mamy bado walia tu?muulize mumeo kafanyaje leo maana naona wengine wooote wanaogopa kukwambia ukweli
mmmhh hiyo safi sana
yaani leo ndo nahitaji hiyo konyagi kuliko siku zote..
mmmhhh

sasa LULU alikuwa aninatafuta wapi tena mtu wangu??
 
satan kijana au mzee? maana satan mzee ni enjo unajua

Hahahaaaa....satan mzee bana.....kwa hiyo balantine haina madhara......inakurusishia u-st. wako....
 
mamy bado walia tu?muulize mumeo kafanyaje leo maana naona wengine wooote wanaogopa kukwambia ukweli

mmmhh mie sija sikia ya leo...
ka una muda wa weza niambia kidogo ahahah lol

lakini mie namwani sana jana alikiri makosa sijui ka ataweza rudia tena ...mmhh
 
Wanaji brekisha na kujicomisha backwards sijui na wao watakuwa na :fish:

hahaha lol
umeanza uchokozi ae baba watoto....

mmhh ngoja lulu aniambie ulikuwa unafaya nini leo..
nasikia ulirudia makosa ya jana..

ii hope ile "Baby come back" yote ya jana haikuwa ya bure..
 
Back
Top Bottom