Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
vizuri sana aisee!
na kijana anaulizia ''ANKALI'' yuko api?
Hahahaha...usisahau makirikiri leo VIP pale.... from Temeke with love!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vizuri sana aisee!
na kijana anaulizia ''ANKALI'' yuko api?
there is nothing like COMING BACK!
BTW:nasubiria kale ''ka-mzigo'' as per your promise
Orait.......
kwahiyo mliconclude nini kwenye hii sredi....?
ukipata jibu nipenyezeePM Babe
mdogo mdogo hommie....ukipata jibu nipenyezeePM Babe
Hahahaha...usisahau makirikiri leo VIP pale.... from Temeke with love!
BE hujaenda zako kingstar????
babe come back to me i dont wana free...
Sijakuelewa hapo mm kizungu kina piga chenga
Mimi nitaandamana kesho...ni vitegemezi vyangu vyote...Kukuunga mkono na kukupogeneza kwa this useful post!
The Following User Says Thank You to Ben For This Useful Post:
Dark City (Today)
Wapendwa
Napenda kuwashukuru wadau woooote mliochangia hii thread......... nawapongeza sana kwa kuwa wengi wenu mmetusaidia sana sisi ambao tulizoea mapenzi ya journal, novels na filamu za kihindi... wengi wetu (hasa mimi) nilikuwa nina picha tofauti sana juu ya ndoa ni kwangu ilikuwa ni kama paradiso -if I may use that word- lakini kwa uzoefu wenu mmenifungua macho kuwa si kila wakati mambo yanakuwa tambarare na kuwa ndoa -if I may use my language - ni mguha ukija hagumu, huja ahegea (lol sijui nimepatia maana wengine tumekulia mijini) maana yake ni kusema ndoa ni kama kula muwa as ya sugarcane- ukila kifundo kigumu, unakula ile sehemu laini. So maudhui ya somo hili ni kuvumilia kwani magumu yanapita, yanakuja matamu, kisha mduara unajirudia tena.
Hata hivyo kuhusu hii thread, nimeelewa kuwa mapenzi yakishaisha kiasi cha kufikia kutukanana, kudhalilishana hadharani na hatimaye kutengana, hakuna kitu ambacho kinaweza kuyatengeneza, kuyaumba (wenzangu wasukuma husema kubumba) tena na kuyarudisha kama mwanzo. Once uvumilivu ule wa mahusiano ukishavunjika na kuruhusu machafuko na matengano, basi hata mkisema muungane tena na kujaribu kuuwekea supagluu haitasaidia........Hata hivyo kutokana na posts mbalimbali ni wazi kuwa marudiano ya watu waliotengana kwa namna hii yanategemea na kosa, na namna ya kuachana ilivyokuwa...hata hivyo ni muhimu kujiuliza maswali muhimu kama je kilichowatenganisha hakitarudia tena?, uko tayari na unaweza kusamehe kabisa na kusahau yaliyotokea na kuanza upya? na je utawezakumtrust huyo mwenzako??.......Kama jibu la haya maswali ni hapana basi usi-come back. Fumba macho sikilizia maumivu kisha chapa mwendo.
Sijui nimekuwa mwanafunzi msikivu?? I hope so.
Mbarikiwe sana.

is there any way one person can have all three qualities ?hehe!...
- The stupid neither forgive nor forget; the naive forgive and forget; the wise forgive but do not forget. It's not hard to make decisions when you know what your values are.-
Amen! 😛ray2:
Wondering kama akija na kuimba hii kitu ya kina wanya moris hutamsamehe.....
"On Bended Knee"
Darlin' I can't explain
Where did we lose our way
Girl it's drivin' me insane
And I know I just need one more chance
To prove my love to you
If you come back to me
I'll guarantee
That I'll never let you go
Can we go back to the days our love was strong
Can you tell me how a perfect love goes wrong
Can somebody tell me how to get things back
The way they use to be
Oh God give me a reason
I'm down on bended knee
I'll never walk again until you come back to me
I'm down on bended knee
probably because he was on bended knees...............Let him remain lame forever for that matter.........
Nimejiuliza kweli J umeota nini leo hadi kufukunyua hili lol................thanx lovnice topic
MJ1.. how is come back going on?