barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
- Thread starter
- #21
Ndugu, unavijua vitambi vya kina dada siku hizi au??Mbona ana kitambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, unavijua vitambi vya kina dada siku hizi au??Mbona ana kitambi
Anatakiwa awe flat kama mke wangu...Ndugu, unavijua vitambi vya kina dada siku hizi au??
Na halafu tena ni kafupi?na wakati jamaa kasema ana kimo?au apo kweny kimo ndo kakusudia kaandunje?Mbona ana kitambi
View attachment 315249
Wakulia ndiye binti Kissa
Na halafu tena ni kafupi?na wakati jamaa kasema ana kimo?au apo kweny kimo ndo kakusudia kaandunje?
Ndugu, unavijua vitambi vya kina dada siku hizi au??Mbona ana kitambi
Teh teh..Mke wako takuwa haumlishi vizuri bro..Anatakiwa awe flat kama mke wangu...
AnajitahidiAu ni huyu![]()
Huyo kissa ni huyu?![]()
Huyo hapo juu, ila ungemuona wakati anatembea mdogo mdogo huku anarepoti, ungemuona full view lazima ungesizi.
Ngoja ikipatikana na ya kabae itawekwa humu!
Alikuwa ana ripoti taarifa gani? Najua hukusikiliza potezea tu....Kuna uzi ulianzishwa jukwaa hili ukimfagilia kwa umbo la kiafrika mdada/ mshangazi Babe Kabae ambaye ni mtangazaji wa Clouds Tv. Sijawahi kumuona akiwa amesimama, ila hata akiwa amekaa unaona kwa macho jinsi alivyolijaza kochi kwa uvungu!
Leo wakati naangalia habari ya saa moja Channel Ten wamemuonyesha mdada Kissa Mwaipiana, akiripoti kutoka Keko, wamemuonyesha juu mpaka chini! Huyu dada ni shidah, ana shape, ana mguu, ana kimo, HANA KITAMBI, na tacko limechongeka na ana jicho! Kanifanya binafsi nimuone Babe Kabae wa kawaida sana!
Kanisisimua sana kwa umbo matata la kiafrika!!
African beauty rocks!
Naunga mkono hoja asilimia 100 kwa 100kisa mwaipyana tupa kule Jackline Silemu ndo dawa yao!
Weka picha! Ni nani huyu? Mtangazaji? Au ndo pia Ufoo Saro?kisa mwaipyana tupa kule Jackline Silemu ndo dawa yao!
Huyo ni Salma Msangi, umrinushaenda huyo, alikuwa mtangazaji toka niko shule! Kazaa zaa sasa hivi kachoka, anajaribu kujiweka ktk ligi ya kina Shadee ila ndo hivyo tena, wenzake wako spidi kidogo! Ila enzi zake nae alikuwa ni shida!Mkuu hii picha umeitoa facebook
Weka picha! Ni nani huyu? Mtangazaji? Au ndo pia Ufoo Saro?
Tacko ndio nini mkuuKuna uzi ulianzishwa jukwaa hili ukimfagilia kwa umbo la kiafrika mdada/ mshangazi Babe Kabae ambaye ni mtangazaji wa Clouds Tv. Sijawahi kumuona akiwa amesimama, ila hata akiwa amekaa unaona kwa macho jinsi alivyolijaza kochi kwa uvungu!
Leo wakati naangalia habari ya saa moja Channel Ten wamemuonyesha mdada Kissa Mwaipiana, akiripoti kutoka Keko, wamemuonyesha juu mpaka chini! Huyu dada ni shidah, ana shape, ana mguu, ana kimo, HANA KITAMBI, na tacko limechongeka na ana jicho! Kanifanya binafsi nimuone Babe Kabae wa kawaida sana!
Kanisisimua sana kwa umbo matata la kiafrika!!
African beauty rocks!
Hii ndio thread ya mwaka ya kibabaishaji..unatoaje habari kama hii bila picha?Kuna uzi ulianzishwa jukwaa hili ukimfagilia kwa umbo la kiafrika mdada/ mshangazi Babe Kabae ambaye ni mtangazaji wa Clouds Tv. Sijawahi kumuona akiwa amesimama, ila hata akiwa amekaa unaona kwa macho jinsi alivyolijaza kochi kwa uvungu!