Baby Kabae wa Clouds Tv tupa kule, Kissa Mwaipiana wa Channel ten ni shida!

Mkuu tuwekee na jina analotumia Instagram !
 
Na halafu tena ni kafupi?na wakati jamaa kasema ana kimo?au apo kweny kimo ndo kakusudia kaandunje?

Mbona ana kitambi
Ndugu, unavijua vitambi vya kina dada siku hizi au??
Sio andunje, nimemuona ktk Tv akiwa kasimama na watu wengine! Yupo kimo kamili cha wanawake.
Anatangazaga pia habari za biashara channel 10 mata moja moja, utapata reference ya ni andunje au la!
 
Alikuwa ana ripoti taarifa gani? Najua hukusikiliza potezea tu....
 
Mkuu hii picha umeitoa facebook
Huyo ni Salma Msangi, umrinushaenda huyo, alikuwa mtangazaji toka niko shule! Kazaa zaa sasa hivi kachoka, anajaribu kujiweka ktk ligi ya kina Shadee ila ndo hivyo tena, wenzake wako spidi kidogo! Ila enzi zake nae alikuwa ni shida!
 
Weka picha! Ni nani huyu? Mtangazaji? Au ndo pia Ufoo Saro?

mtangazaji huyo mkuu mvizie vizie ITV saa mbili utamuona mtamu huyo balaa. afu hawa watangazaji wa habari picha zao wanazificha sjui kwanini.
 
Tacko ndio nini mkuu
 
Hii ndio thread ya mwaka ya kibabaishaji..unatoaje habari kama hii bila picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…