Baby Kabaye na Hassani Ngoma tambueni Chato haina Ikulu ndogo, Ikulu ipo Geita Mjini

Bora hata wangekaa kimya kuliko kuongea uongo huu. Hata Mwigulu aliapishwa pale J's hoteli ambayo ni nyumba binafsi ya Magufuli.
Any way washajua ukimsifia Rais ndo unagusa moyo wake. Kuna wilaya geita haina mkuu wa wilaya. Hasan Ngoma atapewa hii nafasi.
 
Mbona wafanyakazi wengi tu wa serikali wanafanyia kazi nyumbani kipindi hiki cha Corona. Why mnakwesheni Rais kufanyia kazi From chato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbk kama Meko alisema Ngoma ni mjanja mjanja sana so sidhani kama atampa
 
Acha uongo. Na kabae pia iwe ni jina la kisomali? Mandazi kwa kisomali inaitwa qamdi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nidanganye ili iweje ? mbona kama unakuja ki shari wakati hapa tunaongea tu ubishani una faida gani ? mimi nimeongea basing on my personal experience nimeshakutana na wasomali wanatamka hilo jina la Mahamri
na kuhusu jina lake la pili kwani wewe ukiwa mtanzania ukaoa Mwanamke wa kisomali akazaa huyo mtoto si ataitw jina lako ? licha ya kuwa mtoto kazaliwa somalia
 
Sioni kosa lao hao Watangazaaji na majina yao mmeyataja, lkn sisi tupo nyuma ya keybody tunatamba
Chato ni Ofisi ya Ikulu (kwa hiyo ni Ikulu) Rais Magufuli acheni afanyekazi zake zote hapo, hata iwe Lushoto, Dodoma Moshi au popote mradi ni ndani ya Tanzania.
Marekani wanafanyia shughuli za Rais ndani ya airforce One angani (anga la Kimataifa) sembuse maamuzi ya Trump kwenye Tweeter
Hassan Ngoma yupo sahihi Chato ipo Ikulu (kwani tafsiri ya Ikulu ni sehemu anayofanyia kazi maamuzi Mkuu wa Dola)
Air Force One | The White House
 
Mkuu kila media inasera zake za utangazaji ili kuendesha biashara yao

Huwezi kufurahishwa na kila media, chagua inayokufurahisha uangalie

Ukitaka kuona Chadema inapambwa Angalia Chadema t.v.
na wewe kila kitu Chadema Chadema mpaka Sasa unaonekana mjinga jibu kulingana na hoja Rais hayupo ikulu yupo nyumban kwake full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…