Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
UPO SAHIHI NIMEKUPATAyani mkuu umekaa ukaamua uifananishe Air force one na Chato upo serious kweli ? ila kwa kuwa hujui ngoja tukueleweshe
Air force one ni ndege rasmi ya Rais wa Marekani imenunuliwa kwa pesa ya Serikali ya Marekani kwa Ajili ya Rais kusafiri pamoja na kufanya kazi awapo safarini ndio maana hujawahi kumsikia Bush au Trump ametoka White house ameenda kufanya kazi ndani ya Air force One kwa sababu anatakiwa kufanya kazi humo endapo tu atakuwa Safarini
Kuhusu Magufuli Chadema na wananchi wengi wanaomtaka arudi ikulu hoja yao ni kwamba Rais hayupo kwenye Makazi Rasmi ya Rais bali yupo nyumbani kwake,usingesikia kelele kama angekuwa Ikulu ndogo ambayo ipo Geita kwa sababu yale ndio makazi yake rasmi ki serikali anapokuwa kwenye mkoa wa Geita,nchi nzima kuna Ikulu ndogo zipo kwa ajili ya Rais kukaa,anatakiwa akae ikulu ndogo iliyopo Geita sio Nyumbani kwake Chato,sasa watu wanasema alimuapishia Mwigulu kwenye hoteli yake je kesho Makonda akiapisha mkuu wa wilaya huko Koromije mtamlaumu ?
je maamuzi ya kutumbua na kuapisha ni lazima arudi Ikulu?
hta Hotuna angerudi Ikulu lkn anafanya popote hata pale Ubungo Kimara/Mbezi, Kiyegeya Dumila alifanya maamuzi, ndio maana nikasema Trump anatumia Twitter hakuna wa kupinga
Hao CHADEMA achana nao tuangalie Mustakabali wetu km Taifa kwani hawakatazwi
pale Mtu anauguza Mama yake ambaye yupo Kitandani
huo mfano wa USA umeukataa wa airforce 1 lkn hata Obama wa democratic kamlaumu Trump kuhusu anavyokabili COVID imekaaje hiyo, hawakatazwi lkn sio kila uchao jicho Chato