Baby Kabaye na Hassani Ngoma tambueni Chato haina Ikulu ndogo, Ikulu ipo Geita Mjini

Baby Kabaye na Hassani Ngoma tambueni Chato haina Ikulu ndogo, Ikulu ipo Geita Mjini

Sioni kosa lao hao Watangazaaji na majina yao mmeyataja, lkn sisi tupo nyuma ya keybody tunatamba
Chato ni Ofisi ya Ikulu (kwa hiyo ni Ikulu) Rais Magufuli acheni afanyekazi zake zote hapo, hata iwe Lushoto, Dodoma Moshi au popote mradi ni ndani ya Tanzania.
Marekani wanafanyia shughuli za Rais ndani ya airforce One angani (anga la Kimataifa) sembuse maamuzi ya Trump kwenye Tweeter
Hassan Ngoma yupo sahihi Chato ipo Ikulu (kwani tafsiri ya Ikulu ni sehemu anayofanyia kazi maamuzi Mkuu wa Dola)
Air Force One | The White House

Marekani? Katiba yao inasemaje au zinafanana? Presidential matters act umeisoma? Inataka Rais afanyie majukumu yake at the lowest kwenye ikulu zilizopo kila mkoa sasa kwa hapo mkoa wa Geita hazipo chato mkuu!!

Mtoa mada hajapinga Rais kufanya kazi popote bali waandishi kusema Rais eti yupo Ikulu ya chato!! Huo ni upotoshaji

Ssi twaongozwa na sheria za TZ sio video za youtube
 
sasa angemuapisha Mwigulu Nchemba nje ya Ikulu?
muwe waelewa km mnafuata Sheria za Ikulu hata Marekani hivyo hivyo Maamuzi yanatolewa mahali penye seal ya Presidential, nimekuwekea na link hutaki kufuata
Basi fuatilia Ikulu ya Mtemi Mirambo au Mkwawa ndio unazozitaka
nachoalaumu kuwaandama waandishi wakati wanfuatilia maamuzi yote ya Rais yanayotoka mahali alipo iwe Chato hata Lushoto
weka hizo link zako za Presidential Matter km mimi nilivyoweka kwa link na video
bado naungana na babie na Hassan Rais yupo kikazi Chato
 
Jaba Shadrack

Sheria hiyo hapo inamtaka Rais kutekeleza majukumu yake akiwa ndani ikulu ama makazi rasmi yaliyopo kila mkoa tuyaite ikulu ndogo.

Mimi nmefocus kwa sheria ya Bongo sio video ya youtube ya nchi yenye presidential affairs act tofauti kabisa.

Wao walipaswa sema yupo kikazi ingawa sio IKULU wala MAKAZI RASMI hiko ndio mtoa mada kapinga.

Otherwise hyo sheria isinge specify issue ya makazi afterall hta akiwa Buza maadam Seal ipo eti ni Ikulu tayari!!
 
Jaba Shadrack
Sheria hiyo hapo hairuhusu Rais kutekeleza majukumu yake nje ya ikulu ay makazi rasmi yaliyopo kila mkoa tuyaite ikulu ndogo.
Hiyo sehemu mm sijaiona wanaposema akafanye kazi Magogoni au Chamwino
unajua humu JF kuna watu tunabishana ili liendetu naomba hiyo part isemayo uliyonipinga
1A. Interpretation
In this Act unless the context requires otherwise–
"President" means the President of the United Republic;
"household" means a fully furnished house, outbuildings and surrounding land that is used as a dwelling house and includes bedding, cooking, laundry and other domestic equipment necessary for the day to day use.
kwa point yako hiyo Chato ni Ikulu labda weka nyingine achana na Jack Shadrack
 
Sioni kosa lao hao Watangazaaji na majina yao mmeyataja, lkn sisi tupo nyuma ya keybody tunatamba
Chato ni Ofisi ya Ikulu (kwa hiyo ni Ikulu) Rais Magufuli acheni afanyekazi zake zote hapo, hata iwe Lushoto, Dodoma Moshi au popote mradi ni ndani ya Tanzania.
Marekani wanafanyia shughuli za Rais ndani ya airforce One angani (anga la Kimataifa) sembuse maamuzi ya Trump kwenye Tweeter
Hassan Ngoma yupo sahihi Chato ipo Ikulu (kwani tafsiri ya Ikulu ni sehemu anayofanyia kazi maamuzi Mkuu wa Dola)
Air Force One | The White House

yani mkuu umekaa ukaamua uifananishe Air force one na Chato upo serious kweli ? ila kwa kuwa hujui ngoja tukueleweshe
Air force one ni ndege rasmi ya Rais wa Marekani imenunuliwa kwa pesa ya Serikali ya Marekani kwa Ajili ya Rais kusafiri pamoja na kufanya kazi awapo safarini ndio maana hujawahi kumsikia Bush au Trump ametoka White house ameenda kufanya kazi ndani ya Air force One kwa sababu anatakiwa kufanya kazi humo endapo tu atakuwa Safarini
Kuhusu Magufuli Chadema na wananchi wengi wanaomtaka arudi ikulu hoja yao ni kwamba Rais hayupo kwenye Makazi Rasmi ya Rais bali yupo nyumbani kwake,usingesikia kelele kama angekuwa Ikulu ndogo ambayo ipo Geita kwa sababu yale ndio makazi yake rasmi ki serikali anapokuwa kwenye mkoa wa Geita,nchi nzima kuna Ikulu ndogo zipo kwa ajili ya Rais kukaa,anatakiwa akae ikulu ndogo iliyopo Geita sio Nyumbani kwake Chato,sasa watu wanasema alimuapishia Mwigulu kwenye hoteli yake je kesho Makonda akiapisha mkuu wa wilaya huko Koromije mtamlaumu ?
 
Bora hata wangekaa kimya kuliko kuongea uongo huu. Hata Mwigulu aliapishwa pale J's hoteli ambayo ni nyumba binafsi ya Magufuli.
Any way washajua ukimsifia Rais ndo unagusa moyo wake. Kuna wilaya geita haina mkuu wa wilaya. Hasan Ngoma atapewa hii nafasi.
Hiyo nafasi ni ya P Mayalla, anasubiri kuapishwa tu.
 
Sioni kosa lao hao Watangazaaji na majina yao mmeyataja, lkn sisi tupo nyuma ya keybody tunatamba
Chato ni Ofisi ya Ikulu (kwa hiyo ni Ikulu) Rais Magufuli acheni afanyekazi zake zote hapo, hata iwe Lushoto, Dodoma Moshi au popote mradi ni ndani ya Tanzania.
Marekani wanafanyia shughuli za Rais ndani ya airforce One angani (anga la Kimataifa) sembuse maamuzi ya Trump kwenye Tweeter
Hassan Ngoma yupo sahihi Chato ipo Ikulu (kwani tafsiri ya Ikulu ni sehemu anayofanyia kazi maamuzi Mkuu wa Dola)
Air Force One | The White House

Umedanganya mkuu
 
ACHA UONGO hiyo sehemu mm sijaiona wanaposema akafanye kazi Magogoni au Chamwino
unajua humu JF kuna watu tunabishana ili liendetu naomba hiyo part isemayo uliyonipinga

kwa point yako hiyo Chato ni Ikulu labda weka nyingine achana na Jack Shadrack
Mkuu twende taratibu

9. Service of process generally in State House and other official residence
(1) No legal process shall be served or executed within the State House, its lodges or grounds or, while he is resident therein, within other official residences of the President except by or under the directions of the Chief Secretary or a Permanent or Private Secretary to the President

Hiki kifungu kinatambua kwamba hta legal procedures zozote zinazotakiwa kufanyika kwa Rais zina kinga pale tu ikiwa Ikulu au makazi rasmi.

Makazi rasmi ni yapi?

10. Expenses of President's household
There shall, in respect of each financial year, be charged on and paid out of the Consolidated Fund such sum of money as may be certified by the Treasury as being the sum required for and in respect of the salaries, allowances and expenses of the President's household and the upkeep of the State House and other official residences of the President.

Hapa unaona makazi ya Rais (Chato) yametofautishwa na Ikulu/State house na official residence.

1.Sasa naomba unisaidie ni lini chato/Household imekuwa Statehouse/Official residence ya Geita?

2.Na kama Chato ni sehemu rasmi kwanini kwenye legal procedure haijawekwa zaidi wametaja state house na official residence?

3.Na kama popote tu Seal ya Rais ikiwepo ni Ikulu kwenye hii sheria unaweza nionyesha ni kwanini haipo hyo provision?

Karibu
 
zitto junior nimekuelewa na kipengele hicho nimekipitia sana ingawa Lugha ya Kisheria sikuiingia sana darasani ila kwa nijuavyo tafsiri yangu ni kuwa

Shughuli zozote zisizo za kisheria kihalaili hazitafanyika Ikulu, kwenye majengo yake au ardhi wakati akiwepo mwenyewe isipokuwa kwa idhini ya Katibu Mkuu au Katibu Myeka

(maana yake ni hii huwezi kuweka FIESTA km ya Tigo au mashindano ya ng'ombe au harusi zozote za mtu yeyote au shughuli yoyote bila idhini ya Katibu Mkuu au Misimamizi wa Ikulu)

. Service of process generally in State House and other official residence
(1) No legal process shall be served or executed within the State House, its lodges or grounds or, while he is resident therein, within other official residences of the President except by or under the directions of the Chief Secretary or a Permanent or Private Secretary to the President

Kwa hiyo bado Chato ni Ikulu km Katibu Mkuu atakuwepo na ameridhia na pesa zinatolewa kwa shughuli hizo
 
Tatizo lao kubwa ni kushindwa kubalance story wanasifia upande m1 tu na hawajui sisi watazamaji tuna mtazamo na itikadi tofauti....
yule Hassan Ngoma naomba kujua amesoma chuo kipi cha uandishi wa habari maana shobo zimezidi Hadi kimo chake
 
Mkuu twende taratibu
Hapa unaona makazi ya Rais (Chato) yametofautishwa na Ikulu/State house na official residence.
1.Sasa naomba unisaidie ni lini chato/Household imekuwa Statehouse/Official residence ya Geita?
2.Na kama Chato ni sehemu rasmi kwanini kwenye legal procedure haijawekwa zaidi wametaja state house na official residence?
3.Na kama popote tu Seal ya Rais ikiwepo ni Ikulu kwenye hii sheria unaweza nionyesha ni kwanini haipo hyo provision?
Karibu
Zitto bado nasema Lugha ya Sheria inanipiga chenga lkn hapa chini wamezungumzia kazi na amri anazotoa Rais, hawakuzungumzia mpaka aingie Ikulu ni popote na atatumia hata Subordinator
mfano alitoa Order akiwa
  • Daraja la Nyerere Kigamboni Mkurugenzi wa Jiji OUT (RIP) alichomewa na Kolomije
  • Daraja la Dumila TANROAD mkoa wa Morogoro wote OUT
  • Gereza la Ukonga Kangi Lugola na wenzake
PART II: PRESIDENTIAL FUNCTIONS AND AFFAIRS (ss 3-5)
2. Signification of orders

(1) Whereby or under any written law, other than the Constitution, any power, duty or function is conferred or imposed on, or is vested in the President, the exercise of such power or the performance of such duty or function by the President may, unless a contrary intention appears, be signified under the hand of a Minister, a Deputy Minister or a Permanent Secretary:
Provided that nothing in this section shall apply to the power of the President to make proclamations or shall restrict the manner in which the power of the President in relation to the executive functions of the Republic, other than any such function which is conferred by any written law, may be exercised through officers in the service of the Republic subordinate to him.
Kwa hiyo hapo hakuwa nyumbaini Chato bali ndani ya Nchi, au angekuwa juu angani ndani ya ndege ni amri halali (Kumbuka Obote na Idd Amini)
 
Jamani, tuelimishane kidogo Chato ni Makazi ya Rais, sio Ikulu ndogo Ikulu ndogo ipo hapa Geita mjini na Chato ni miongoni mwa Wilaya zilizopo mkoani Geita.

Ninachokijua mimi ni kuwa Rais wa Tanzania alitambua mapema yakuwa akiwa ndani ya Ikulu kubwa hizi kwa maana ya DSM na Dodoma miingiliano inakuwa mikubwa sana kuepuka ilo ndio maana aliamua kwenda kufanyia kazi Wilayani Chato Nyumbani kwake na si Ikulu ndogo Rais wa Tanzania hayupo ikulu yupo nyumbani kwake.

Ni muhimu ili lieleweke vyema, Rais hayupo Ikulu ndogo wala Ikulu kubwa yupo nyumbani kwake akiendelea na shughuli zake za kulijenga Taifa.

Binafsi mimi sipingani na yeye kuwa kwake maana na yeye ni mtu ana roho, na hata angekuwa ndani ya hizo Ikulu bado yeye sio nesi kama ambavyo watu tunataka awe, yeye ni Rais angebakia hivi hivi tunavyo muona.

Angalizo, na ninachokipinga kama ni kweli kutokumuona akishirikiana na Marais wenzake katika vikao vya mikakati ya kujikinga na maradhi haya ilo mimi siungani naye kama anashindwa yeye kulingana na mazingira au miundo mbinu ya Chato haiko sawa angeteua wawakilishi

Ingawa siamini katika miundombinu maana nakumbuka hapo alipo mandenge yalisha wai kutua yametua.

KUHUSU NYINYI WATANZANGAZAJI KUITWA VIBARAKA!
KATIKA ili mimi sio Mtanzania niliyopo ng'ambo lazima tukubaliane kuwa mmekuwa mashabiki wa vitu vingi vya ovyo, kuliko enzi za yule bwana alie kula uteuzi na yule bwana sijui kama alishawai kuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi kwani aliweza kuwahoji vizuri sana pasipo kujali nafasi zao na hata alipoteuliwa MH Rais katika uapisho alisema kabisa kuwa huyo bwana alikuwa akiwahoji wenzake maswali magumu sasa amempa nafasi ili nae akahojiwe kama alivyokuwa akiwakaanga wenzake.

Sasa hivi kweli Hassani Ngoma kweli wewe ni msomi mwandishi unashindwa kujua kuwa Chato sio ikulu na haina Ikulu pale?

Nyinyi kama wanahabari mntakiwa kwenda mbali zaidi na kujifahamisha na kuwajuza watazamaji ni shughuli gani ambazo Rais wa nchi anaweza kuzifanya akiwa kwake na zipi hawezi, je sheria za nchi yetu zinamruhusu yeye kufanyia kazi nyumbani kwake?

Je, kwanini Rais, hashiriki vikao na marais wenzake?

Je, kamati iliyoundwa kuchunguza Mahabara inatakiwa kufanya kazi muda gani? je wakati kamati inafanya uchunguzi na tunajuzwa mahabara iko moja je zanzibari inapimia wapi mbona wao wanatangaza? wanapimia WAPI?

Leo namwona Hassan Ngoma anatetea Mh Spika kwa mambo ya hovyo anayo yasema hivi ni nani hasiyejua kuwa huyo Spika anafanya mambo ya ovyo? kimsingi nilitegemea hapo kipindi kinawaoji wanasheria manguri, maspika waliopita na kuoji pande zote, hivi mnajua kuwa Mwanahabari nguli anaweza kuwa chanzo cha habari kwa nini hamtaki jukum ilo?sio mnajadiri hata vitu vinavyokinzana katika taifa.

Nianzie hapo.
Kisheri. Au kijeshi alike mkuu ndilo HQ. tuseme alikolala Rais ni ikulu. USA wanandege ya Rais. Rais akibadili ndege na kutumia ndege nyingine, ndege hiyo ubadilika jina na kuitwa Airforce One. Hivyohivyo na tanzania. Aliko Rais ndiko ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umedanganya mkuu
Ok nashukuru ngoja nilifute hilo Neno kwa Zitto ILA SASA WEWE NIAMBIE NIMEDANGANYA IPI
ila Mada nzima inaelekea kuwabana watangazaji na P. Mayalla na mimi huwa sipendi kujadili hivi vitu tukitumia Fake ID ndio maana tunawakuza na wanatudharau tunaposema wanattafuta ujiko/ ukuu wa Wilaya
Hicho kipindi cha 360 nimekiona, ni maamuzi yao lkn tusiyafuate waliyoyatamka wapo huru kuliko TBC
 
Back
Top Bottom