Baby Kabaye na Hassani Ngoma tambueni Chato haina Ikulu ndogo, Ikulu ipo Geita Mjini

UPO SAHIHI NIMEKUPATA
je maamuzi ya kutumbua na kuapisha ni lazima arudi Ikulu?
hta Hotuna angerudi Ikulu lkn anafanya popote hata pale Ubungo Kimara/Mbezi, Kiyegeya Dumila alifanya maamuzi, ndio maana nikasema Trump anatumia Twitter hakuna wa kupinga
Hao CHADEMA achana nao tuangalie Mustakabali wetu km Taifa kwani hawakatazwi
pale Mtu anauguza Mama yake ambaye yupo Kitandani
huo mfano wa USA umeukataa wa airforce 1 lkn hata Obama wa democratic kamlaumu Trump kuhusu anavyokabili COVID imekaaje hiyo, hawakatazwi lkn sio kila uchao jicho Chato
 
basi kama ana mgonjwa hiyo inaeleweka
 
basi kama ana mgonjwa hiyo inaeleweka
Hawaelewi wanataka wamuone sijui wampopoe mayai au mawe km kule Mbeya awamu ya 4
kuna kipindi 1964 Mkuu (RIP) aliongoza Nchi akiwa chini ya Handaki, wengine wanasema akiwa Kigamboni, waTanganyika wakamjua Kambona, lkn aliweza agiza Kikosi cha Kiingereza kuja pambana na KAR, Manowari iltumia spika tu kumaliza hiyo coup kule Lugalo
Maana yangu maamuzi ni popote hata Chato
 
Mkuu naomba unifafanulie hiyo ya mbeya maana ndio siifahamu
 
Mkuu kila media inasera zake za utangazaji ili kuendesha biashara yao

Huwezi kufurahishwa na kila media, chagua inayokufurahisha uangalie

Ukitaka kuona Chadema inapambwa Angalia Chadema t.v.

Hoja cyo media kua na sera zake, hilo cyo tatzo

Hoja ni maadili na miiko ya uandishi wa habar ambao kwayo kila mwandishi anatakiwa awajibike


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo nesi anatakiwa kuhudumia dharula zinapotokea saa 24 ndivyo Rais anavyotakiwa kuhudumia dharula za nchi zinapotokea saa 24, huo ndiyo ukweli.
 
Hahahahah nimecheka hapo kwa fiesta mkuu!!
Hicho kifungu kipo chini ya sub heading hii
PART III: LEGAL PROCEEDINGS (ss 6-10

Ikimaanisha masuala ya kisheria yeyote yale dhidi ya Rais hayawezi kuwa enforced ndani ya IKULU au OFFICIAL RESIDENCE (Hizi zote zisomeke Geita mjini)

Sasa mpaka hapa unaona makazi binafsi ya Rais hayapo kwenye hiyo bracket ikimaanisha sio RASMI na ndio maana katibu mkuu hawezi husika nayo moja kwa moja.

Sasa ukisoma kifungu cha 10
.....President's household and the upkeep of the State House and other official residences of the President.

Hapa wametenganisha makazi ya Rais na Makazi rasmi/Ikulu.

Sasa utusaidie ni kwanini kwenye legal proceedings makazi binafsi hayatajwi ila Ikulu/Makazi rasmi ya Rais yanatajwa??

Rais anaweza fanya majukumu popote ndio hata kutumbua na kuteua ila kazi za ''kiofisi'' kma kupokea cjui hati za mabalozi n.k inatakiwa azifanye ofisini ambapo kisheria ni Ikulu/Makazi rasmi.

Sasa chato ni HOUSEHOLD tu ambako hta akiacha urais ataendelea kuishi ila OFFICIAL RESIDENCE ni za RAIS kma RAIS.

Je chato ni official residence?? Kma sio je hujaona hao waandishi uchwara wamepotosha umma?
 
Mkuu mimi siongelei majukumu pekee naongelea issue ya makazi rasmi na ofisi rasmi. Huwezi ukapokea hati za mabalozi kwenye Bar alafu ukasema kwa muda huo ni Ikulu.

Na ndio maana hyo sheria ukisoma provision ya 9 na 10 imetoa maelekezo Ikulu ni wapi!! Imetofautishwa na makazi binafsi ya JPM.

Siko hapa kusema ni makosa kwa JPM ama yupo sahihi? Ila naunga mkono hoja kuwa hao wamepotosha Rais akiwa home au kwa mchepuko haihesabiki kama Ikulu bali yupo nje ya ofisi.
 
Mtoa mada nimekuelewa kwenye issue ya hao waandishi na napenda kuongezea katika upande mmoja hapa...

Kweli kila chombo cha habari kina upande unachovutia kwake na kufanya hivyo ni kinyume na tasnia ya habari inayokataza mwandishi kuegemea sehemu yoyote.

Ukiona vyombo vya habari vimepoteza muelekeo ujue ...
a) Mfumo wa nchi umekosa kusimamia sheria za nchi.
b) Hofu inatawala kwa wamiliki na kutoa muongozo.
c) Mwandishi anatafuta kutambulika.
d) Ukandamizaji unachochea ethics iachwe na mtu akumbuke mkate.
 

Unataka kujua Siri za nchi. Kuna wakati eleza Shida yako Nini. Sio kuomba kujua vitu hata havikuhusu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kila media inasera zake za utangazaji ili kuendesha biashara yao

Huwezi kufurahishwa na kila media, chagua inayokufurahisha uangalie

Ukitaka kuona Chadema inapambwa Angalia Chadema t.v.
Wewe tena! Kama ni umalaya ungekuwa umevuka na kuingia hadhi ya ukahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…