Baby Madaha anusurika kubakwa

Baby Madaha anusurika kubakwa

Naivasha haipo Nairobi nimecheka sana ha ha ha hata habari yenyewe siiamini sasa

Kazi ya DSJ hiyo,juzi kati niliangalia clouds tv kwenye kipindi cha kumbukumbu aliitaja uhuru wa Bahrain.Hiyo Bahrain ilivyotamkwa niliziba masikio sikuamini.
 
Kazi ya DSJ hiyo,juzi kati niliangalia clouds tv kwenye kipindi cha kumbukumbu aliitaja uhuru wa Bahrain.Hiyo Bahrain ilivyotamkwa niliziba masikio sikuamini.

Mie ukiniambia Source ni GP nguvu huniisha kabisa natamani kucheka..... Tanzania eeehhh Nchi yangu eeehh.......
 
Mii ktk picha ya pili nawaangalia washakaji, alienyoosha mkono na yule kule alieweka mkono wake wa kushoto kichwani!
 
Back
Top Bottom