ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Naivasha haipo Nairobi nimecheka sana ha ha ha hata habari yenyewe siiamini sasa
Kazi ya DSJ hiyo,juzi kati niliangalia clouds tv kwenye kipindi cha kumbukumbu aliitaja uhuru wa Bahrain.Hiyo Bahrain ilivyotamkwa niliziba masikio sikuamini.