Baby Madaha anusurika kubakwa

Baby Madaha anusurika kubakwa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906

Image536.jpg

Image541.jpg

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu.


Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika mji wa Naivasha uliopo Nairobi nchini humo ambapo mwanadada huyo alipopanda jukwaani akiwa amevaa sketi fupi iliyokuwa imeacha sehemu kubwa ya mapaja wazi, wanaume wakware walianza kumvutia chini kwa nguvu.


"Nusura Baby Madaha abakwe, wanaume wakware walishindwa kuvumilia, palepale jukwaani wakaanza kumvuta huku wengine wakimng'ang'ania paja lake lakini aliokolewa na mabaunsa vinginevyo tungekuwa tunaongea mengine," kilisema chanzo.


Chanzo: GlobalPublishers
 
Wanakoseaga sana kusema wanaume wakwale,wanatakiwa waseme wanaume waliokamilika.
 
hahaha... hao jamaa kwenye picha ya pili wana ngunga kama wafungwa naona wengine wanalala kwenye stegi wanachek papuchi kwa juu
 
Hii ni aibu. Eti mji wa Naivasha ulioko mjini Nairobi nchini humo!!!

Yule mjingamjinga wa pale habari maelezo magazeti ya kijinga kama haya wala hana habari nayo hajui ndio yanazidi kushusha IQ za wasiojitambuwa.
 
Chanzo cha habari hii haitotokea hata siku moja nikiamini.

this is edited and cooked story.just Google the original story. ameigeza tu mleta mada. pili naivasha ni mji kilomita 60 kutoka nairobi ukielea mjini nakuru. haupo ndani ya nairobi.upo rift valley county ya nakuru.
BABY MADAHA awatamanisha midume kwenye show ya “Great East Africa Peace Concert” iliyofanyika NAIVASHA – KENYA.

ad7e2bb517d7cfeebe52678d0832df50

Posted by : DJChoka Posted date : 12/08/2014 In Events, Mixed Photos Comments Off


Twitter: @chokadj
 
Chanzo: GlobalPublishers
[h=3]No Kenyan Can Handle Me,'' says a top Tanzanian singer[/h]
Controversial Tanzanian singer Baby Madaha over the weekend brought down the house to a stand still at Naivasha's Hippo Camp as she gave a tight stunning performance.

Among those who performed alongside her were legendary Kenyan musicians among them Jua Cali, Wyre , DJ Creme de la Creme and Moustapha didn't fail to impress the huge crowd.

What caught the attention of many is after a certain group of people where forcing their way infront of the pulpit to have a good view of Madaha who later turned naughty and started displaying her assets.

"There was a group of men at the front who were trying to reach for my legs, I also saw some of them peep to see my inner wear, i noticed that when i went close and squatted next to the fans, while some were busy singing along, some were trying to see the what i was wearing inside" said Madaha who spoke exclusively to Vibeweekly.

She however distanced herself from the kind of ratchetness her fellow Tanzanian singer Shilole Noma who allows men to touch and fond her freely whenever she is called for a show. Baby Madaha however distanced herself from such things saying she only goes on stage to entertain and not to promote immorality.

"I had fun performing in Naivasha, the fans loved it too but there will always be a few rotten apples in the bunch whose sole purpose is to derive their own "pleasure" from female artists whenever they go on stage". she added.

The ironical bit of it is that she exposed her assets on stage while performing to an extend of even getting closer to her fans in order to see the kind of inner wear she was wearing. Asked if she would perform in Naivasha again this is what Madaha said as she concluded the interview, "Oh yes why not, and this time now that i know what they like i will come prepared ". she quipped adding that Kenyan men are snoopy and that no one can handle her

See the ratchet photos below incase you missed them



 
Hii ni aibu. Eti mji wa Naivasha ulioko mjini Nairobi nchini humo!!!

Halafu wanalalamika oooh baraza la mitihani wanaonea watu..mijitu haina uelewa kabisa
 
10511538_846415102035381_3808064654312424518_o-18624-600-600-70.jpg

nimekimbilia kufungua hii thread ila nilipoona source y habar bhaasiiiii nikajua story za kutunga hizi.

by the way nimevutiwa na pozi la jamaa aliyevaa saa. hahahahahaha ..............

Grand PA
 
Naivasha haipo Nairobi nimecheka sana ha ha ha hata habari yenyewe siiamini sasa
 
Back
Top Bottom