Baby Madaha: Mwarabu kanituliza, na kweli sasa nimetulia

Baby Madaha: Mwarabu kanituliza, na kweli sasa nimetulia

Ukimpigia simu popote ulipo anakuja muhimu weka dau zuri hasa trip za mkoani sasa sijui katulia kufanya nini,kuna fundi bomba wao mmoja ukimcheki lazima huduma ikufikie.
Fundi bomba?! Ila juzi Kati aliweka wazi kuwa bongo movies wanauza papuchi ambapo na yeye ni mmojawao
 
Ila waarabu na mtandao wa TIGO mh! namtakia kila la kheri kwenye ndoa yake
 
madaha-1024x1024.jpg


MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.

Baby yupo mbioni kuachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Corazon’ unaofanyiwa video yake nchini Dubai kwenye makazi yake mengine.

“Kwa sasa ninaishi nchi mbili, nipo Tanzania na pia nina makazi yangu mapya huko Dubai, nimeolewa na Mwarabu na nimetulia kwenye ndoa yangu najiachia kwangu, ahaaaa!” alijibu kisha akamalizia kwa kicheko.

Akizungumzia wimbo huo, Madaha alisema ameurekodia katika studio za C9 zinazomilikiwa na prodyuza mkali katika midundo nchini, Christopher Kanjenje (C9).

Awali Baby Madaha aliwahi kunukuliwa na vyombo vya habari akisema anamzimikia Zitto Kabwe na angependa kama angeolewa naye.

"Nafikiri Zitto ni mwanaume anayenivutia sana ambaye ningetamani anioe, licha ya kujiamini kwake, pia ana akili na ujasiri wa hali ya juu, kitu ambacho wengi hawana. Ukiangalia mambo ambayo ameyafanya akiwa bungeni, yanaonyesha ni jinsi gani yeye ni mtu jasiri ambaye yupo tayari kufa kwa kupigania anachokiamini."

Licha ya kumpenda Zitto, Baby Madaha pia aliwahi kusema kuwa anatamani kujiunga na Freemason, akisema anavutiwa na jinsi wanavyojitoa katika kusaidia watu wa jamii mbalimbali, tofauti na imani ya wengi kuwa watu hao ni wabaya.

"Ukiniambia Freemason kweli, uchawi? Napenda Freemason maana iko wazi na kiongozi wake anajulikana, tofauti na imani za giza ambazo wahusika hawaonekani, achilia mbali kuwa wengi wao ni wachafu na wenye maisha ya shida.

"Muangalie mtu kama Chande (Alex, Kiongozi wa Freemason Tanzania) ni mtu mwenye maisha mazuri na yupo watu wanamuona, anaendesha taasisi kwa uwazi, haijalishi wako vipi, mimi ninawaelewa na ninawakubali," alisema msanii huyo na alipoulizwa kuhusu usiri wa baadhi ya masharti ya kujiunga kama yana ishara mbaya, aliongeza;

"Siyo kila kitu mtu ajue, lazima yawepo baadhi ya mambo mnayojua wenyewe tu, angalia hata shoo ya Diamond, ameweka kiingilio kikubwa kwa sababu siyo kila mtu lazima aingie, wengine wa oyaoya waishie hukuhuku, huko kuna wenyewe, binafsi nitafurahi sana nikipata chansi, hao waliomo humo mbona hatuoni watoto wao wamekufa au wazazi wao?," alisema kwa kuhoji Baby.

Source: Mtanzania
Mwarabu!?? Huko ni mwendo wa kuliwa tigo tu!
 
Kweli lakini nasisi huku hatujambo,wabongo tumeadvance sana nowadays yaani tena tunaambiwa kabisa eti baby na huku..[emoji87] [emoji87]
hahah eti nipeleke chooni kumbe tiGO!! by the way teknolojia inakua sana hususani ya mawasiliano na vifaa vya kibelectronics bila kusahau teknolojia ya NGONO ya UWANI.
 
hahah eti nipeleke chooni kumbe tiGO!! by the way teknolojia inakua sana hususani ya mawasiliano na vifaa vya kibelectronics bila kusahau teknolojia ya NGONO ya UWANI.
Of course,yaani siku hizi ndio imekuwa mtindo😀😀
 
Back
Top Bottom