Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Huyu mtoto aĺiupania ustaa tangu yupo shule wacha wajipigie tu. Alafu jana umeniangusha bestMmh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtoto aĺiupania ustaa tangu yupo shule wacha wajipigie tu. Alafu jana umeniangusha bestMmh!
Best nilikuja ila sikukuona.Huyu mtoto aĺiupania ustaa tangu yupo shule wacha tujipigie tu. Alafu jana umeniangusha best
[emoji23][emoji23][emoji23] umèkosa mambo mimi naendelea kuteketeza gawio kutoka kwa serikali ya bwana jiweBest nilikuja ila sikukuona.
Best unikumbuke na mie.[emoji23][emoji23][emoji23] umèkosa mambo mimi naendelea kuteketeza gawio kutoka kwa serikali ya bwana jiwe
Basi mwezi ujao nitakupeleka viwanjaBest unikumbuke na mie.
Kwa sisi tuliokuwa na kusoma nae kitaa kimoja wala sishangai ni kawaida yake kabisa hiyo,n alianza akiwa mdogo hizo mambo!!Msanii wa muziki wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na vibao vikali kama vile ‘Amore’ amefunguka na kudai anapendelea sana kufanya tendo la ndoa.
Baby Madaha ametoa kali hiyo ya mwaka na kuwashangaza wengi baada ya kusema starehe pekee anayoipenda ni kufanya tendo la ndoa na anaweza kufanya hata mara nne kwa wiki.
Kwenye mahojiano na Gazeti la Amani, Baby Madaha alisema tendo hilo huwa anapenda kulifanya mara nyingi zaidi pindi anapokuwa na fedha mfukoni.
Napenda kufanya nikiwa niko vizuri sana mfukoni, akili yangu yote iwe hapo tu yaani kwa wiki naweza kufanya hata zaidi ya mara nne”.
View attachment 845587View attachment 845588
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa humu JFKim, na wewe starehe yako kubwa ni nini?
-Kaveli-
Dah kumbe na ww umeshangaa, mm nilijua kwa siku mara sitaSasa mara nne kwa wiki ni jambo la kushangaza?
Utakuwa ni masikini kweli kweli.Mara nne kwa week alafu anasema anapenda..?! Na mie wa mara nne kwa siku ntasemaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo ndio maneno best. Cant wait.Basi mwezi ujao nitakupeleka viwanja