Baby Madaha: Starehe yangu ni kufanya mapenzi

Baby Madaha: Starehe yangu ni kufanya mapenzi

Mshenzi sana basi Mzungu koko wake anapata tabu sana..........Mara nne kwa wiki?
 
Msanii wa muziki wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na vibao vikali kama vile ‘Amore’ amefunguka na kudai anapendelea sana kufanya tendo la ndoa.

Baby Madaha ametoa kali hiyo ya mwaka na kuwashangaza wengi baada ya kusema starehe pekee anayoipenda ni kufanya tendo la ndoa na anaweza kufanya hata mara nne kwa wiki.

Kwenye mahojiano na Gazeti la Amani, Baby Madaha alisema tendo hilo huwa anapenda kulifanya mara nyingi zaidi pindi anapokuwa na fedha mfukoni.

Napenda kufanya nikiwa niko vizuri sana mfukoni, akili yangu yote iwe hapo tu yaani kwa wiki naweza kufanya hata zaidi ya mara nne”.
View attachment 845587View attachment 845588

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi tuliokuwa na kusoma nae kitaa kimoja wala sishangai ni kawaida yake kabisa hiyo,n alianza akiwa mdogo hizo mambo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A bitcch doesn't enjoy sex. She enjoys money.

-Kaveli-
 
mara 4 akiwa na mwanaume wa dar, mara zote akiwa na mtoa mada.
 
Back
Top Bottom