Hahaaaaa nimecheka sanaa, duuh!!Anahonga kweli. Siku nitajitoa ufahamu na mimi nile hela zake kwanza hata hataondoka nayo. Nambania toka 2014 wakati wengine wanakula bure tu.
Numbisa! Is this an evidence?Hivi kwanini wasichana wazuri huwa wanaishia kuzalishwa na kuachwa? Pole nicole always mchepuko utabaki mchepuko tu
View attachment 702544
Hahaaa yaani nyie khaaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]Alitoka na rafiki angu. Akaniambia show yake kawaida sanaaaaaa tena sanaa. Maana alikuaga ananitambi show yake kali blah blah. Siku tumetoka na rafiki angu nikamwambia embu kamle hela huyo. Ndo akaniambia hana kitu kabisa
Maybe rafiki yako hakuwa kiwango.Alitoka na rafiki angu. Akaniambia show yake kawaida sanaaaaaa tena sanaa. Maana alikuaga ananitambi show yake kali blah blah. Siku tumetoka na rafiki angu nikamwambia embu kamle hela huyo. Ndo akaniambia hana kitu kabisa
Mbona jina limetajwa tayari BAK?Vyuma vimekaza Best lazima warembo wachakarike hata kuzipiga. Jina la Mbunge itapendeza Mzigua90.
Nimesoma hadi hapa mi sijamtambua, hebu nitonye basi best
Queenlynei ana duka la nguo maeneo hayo na mbunge kingu nadhaniBaby mama bongo movie na miss Shinyanga wa zamani, girlfriend ana duka la nguo maeneo ya Mkwajuni. Bwana wao mbunge kutoka jimbo moja mkoani Singida.
Kumbe alisha onesha dalili za kukumendea? Mzigua90,wewe na Mh mnajuana vizuri.Shemeji yako huyo!Aiiii. Ingekua hivyo ningeshampa mudaa.
Mbona wale mabeibe wanaigombania? Mpaka itafutwe press conf?Alikua kiwango na mzuri vizuri tu. Basi tu kaka show hamna hela zinabeba
Numbisa! Is this an evidence?
Kuna mavitu unashindwa hata kuamini wanafanya watu halisiImenigusa sana.
Si zile show off za kimjinimjini plus vacation za China na Dubai hahahaaa! ndo wanazozipenda...Kwa kipi sasa jamani?