Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Baby wangu mpaka umefikia hatua ya kuleta uzi kweli imekugusa mno.
Uzwazwa wa wanawake hauongeleki kabsa.
 
Alitoka na rafiki angu. Akaniambia show yake kawaida sanaaaaaa tena sanaa. Maana alikuaga ananitambi show yake kali blah blah. Siku tumetoka na rafiki angu nikamwambia embu kamle hela huyo. Ndo akaniambia hana kitu kabisa
Hahaaa yaani nyie khaaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Alitoka na rafiki angu. Akaniambia show yake kawaida sanaaaaaa tena sanaa. Maana alikuaga ananitambi show yake kali blah blah. Siku tumetoka na rafiki angu nikamwambia embu kamle hela huyo. Ndo akaniambia hana kitu kabisa
Maybe rafiki yako hakuwa kiwango.
 
Baby mama bongo movie na miss Shinyanga wa zamani, girlfriend ana duka la nguo maeneo ya Mkwajuni. Bwana wao mbunge kutoka jimbo moja mkoani Singida.
Queenlynei ana duka la nguo maeneo hayo na mbunge kingu nadhani
 
Dada zetu mnaacha kufa ni kina mo dewji watoto walithi viwanda.. mnahangaika na wabunge ambao wanategemea mshahara na posho...

inabidi K lyn aaanzishe tution ya kudanga...

yaani GSM, Mafuruki, Mbwana Samatta, mnashindwa kuwatega... mnahangaika na mbungee kipato chenyewe magu anakichinja chinja
 
Kumbe alisha onesha dalili za kukumendea? Mzigua90,wewe na Mh mnajuana vizuri.Shemeji yako huyo!
Tunajuana vizuri kabisaa. Ni mshkaji wangu ila matendo yake sijawahi kuyazoea.
 
Back
Top Bottom